PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Majeshi majeshi!!

Ndugu zangu tumekutana na mambo ya ajabu kweli kanisani kwetu:
Wakati wanatutimua tuliondoka kwa amani tukafunga milango!

Wakapiga utepe wa don cross wakabakia wao kulinda saa 24

Hilo halitoshi na popote tulipoenda kusali siku zote hizo tangu kanisa lifungwe walituzingira na kusali chini ya ulinzi kwa miezi yote hii.

Jambo ajabu baada ya kukabidhiwa kutoka mikononi mwao juzi tumekuta

1. Milango ya ofisi tulizoacha tumefunga zimevunjwa zote
2. Selfbox ya sadaka imevunjwa
3. Nusu ya viti vimeibwa kanisani
4. Computer zimechukuliwa
5. Dispensal na machine za kuoka chakula wamebeba
6. Kamera wamelamba
7. Mapazia wamepangusa yote
8. Baadhi ya vyombo vya music wakagawana
9. Baadhi ya fen hazipo
10. Sadaka na matoleo wamebeba
11. Masufuria ya kupikia ubwabwa watoto

Kiufupi Wamelamba mali za Mungu na kugawana Vazi la kanisa ambaye ni kristo mwenyewe!

Kama mti mbichi wameufanya hivi je itakuwaje mti mkavu ambazo ni mali za raia zinazoshikiliwa huko ofisini kwao?

Hatusemi wameiba lakini tunauliza tu je Kama vinapotea chini ya ulinzi wao je ndiyo utaratibu?
WATASEMA yamkini Hakukuwa na makabidhiano ni sawa lakini kwani ile DHAMANA YA KULINDA RAIA NA MALI ZAO WALIKABIDHIWA NA NANI?

Mwanakondoo Ameshinda!

"MENE MENE TEKEL PERES"
Kwa kuzarau hadi mali za Mungu utawala umepimwa, hautoshi na umegawanywa!

Ndugu zetu wanasema TAKIBIIIIRRRRR!!
Nasi tunasema Majeshi majeshi ya Bwana! IMEKUWA
 
Ni wameiba haina kupindisha maneno
 
Back
Top Bottom