Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Itakua gwajima aliingia akaziiba
Ostaadh unakula kitimoto siku hizi? Nilifikiri utani kumbe jambo hili ni kweli! 😳😳😳FRIJI INAYOHIFADHIWA KITIMOTO NIMEICHUKUA MIMI SASA KWA TAARIFA YENU
Hao ni polisi au wezi. ? Hawaogopi madhabahu???Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa limefungwa na Polisi ambao ndiyo walikuwa wakilizingira kwa muda mrefu.
Vibaka kwenye uniformBaada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa limefungwa na Polisi ambao ndiyo walikuwa wakilizingira kwa muda mrefu.
Aliingiaje wakati anatafutwa?Itakua gwajima aliingia akaziiba
Goons and crime lords in uniformPolisi wengi ni majambazi hasa wale ma field officer
Ni majambazi wenye kibali
Polisi wameaibika!FRIJI INAYOHIFADHIWA KITIMOTO NIMEICHUKUA MIMI SASA KWA TAARIFA YENU