antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kweli,Tulisema hapa polisi ndio wezi hata kwenye maandamano tulishuhudia wanaimba Mali za raia na kuvunja maduka
Ni ndugu zako katika imaan..Itakua gwajima aliingia akaziiba
FRIJI INAYOHIFADHIWA KITIMOTO NIMEICHUKUA MIMI SASA KWA TAARIFA YENU
FRIJI INAYOHIFADHIWA KITIMOTO NIMEICHUKUA MIMI SASA KWA TAARIFA YENU
Yaan ww kwa akili zako sasa hivi hata ukiambiwa rangi hii ni nyeusi bado utasema ni nyeupeItakua gwajima aliingia akaziiba
Unaongea kichoko zaidiItakua gwajima aliingia akaziiba
Huyo mpuuzi Malaria 2 akishapiga K Vant na kufakamia kitimoto anajiropokea tuAliingiaje wakati anatafutwa?
Spiritually, Jeshi zima la polisi Tanzania lina laana kadhaa ...Marehemu Babu yangu Ali laani kazi ya upolisi kwenye ukoo wetu..Kuna brother angu mmoja mmoja alienda huko chap baada ya kupata four 28.
Kutokana na laana alipata kesi na kufukuzwa kazi...alinisimulia uharamia walio ufanya kudhulumu mifugo wamasai kubambika kesi usaliti...
Mimi pia anewai kunifanyia uharamia kama simu yangu kuibiwa ndani kwenye mazingira tata...kunisaliti kwenye kudai haki nikadhurumiwa kwa kunigeuka..ni wasaliti sana Hawa ma field police pia ni walevi sana wa pombe,bangi na masigara watu hatari sanaaa
we pimbi udini unakupa faida gani dini yenyewe ni ya waarabu tangu umeondokewa marinda ukiwa madrasa na akili zimeondokaFRIJI INAYOHIFADHIWA KITIMOTO NIMEICHUKUA MIMI SASA KWA TAARIFA YENU
Sasa kama wote tulipigwa lock down na wao tu ndio walikuwa nje, nani aliiba!!!Af watu wakisema wao ndo walofanya uhalifu mo29 wanatekwa 😅
'Field officer' ndiyo Polisi wa namna gani hao?Marehemu Babu yangu Ali laani kazi ya upolisi kwenye ukoo wetu..Kuna brother angu mmoja mmoja alienda huko chap baada ya kupata four 28.
Kutokana na laana alipata kesi na kufukuzwa kazi...alinisimulia uharamia walio ufanya kudhulumu mifugo wamasai kubambika kesi usaliti...
Mimi pia anewai kunifanyia uharamia kama simu yangu kuibiwa ndani kwenye mazingira tata...kunisaliti kwenye kudai haki nikadhurumiwa kwa kunigeuka..ni wasaliti sana Hawa ma field police pia ni walevi sana wa pombe,bangi na masigara watu hatari sanaaa
Mipolisi ina njaa sana ndio maana inaiba hadi vitiBaada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa limefungwa na Polisi ambao ndiyo walikuwa wakilizingira kwa muda mrefu.