Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.

Je, nachomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa.
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
HAKI ZAKO NA WAJIBU WA ASKARI HUO HAPO . NAKUTAKIA KAZI NJEMA YA UOKOTAJI. KUNA SHERIA ZA TCRA ZINAKATAZA UOKOTAJI. SITOKUTUMIA ILA ZIPO . MITANO KWA MAMA SAMIA
 
Attachments

Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
Isalumimishe police kituo kingine back date tarehe!Cha kuokota si Cha kuiba huna kesi ingawa utasumbuliwa.
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
zima simu itupilie chini ya uvungu ata miaka alaf tupa line
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Miaka 5 jela inakusubiri.

Hakuna mwizi anayeiba simu kisha akaidondosha. Umenunua mali ya wizi na sasa kimewaka
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Huyo mamako alikudanganya. Alienda kudanga akahongwa hiyo simu na mwizi au jambazi, muulize vizuri.

Babako unamjuwa? Mnaishi nae?
 
Back
Top Bottom