Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.

Je, nachomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa.
Nakumbuka kuna mtu alikopa mtandaoni (online app za mikopo) akaachana na line aliyokopa mwaka sasa anadunda mtaani. Sijasema utupe line yako
 
Ujinga huo mm sifanyi.....zima tupo choo public achana simu za kuibiwa hizo....zina kesi ya vichwa......
 
Back
Top Bottom