jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Tena huyo kesho anaweza kuja humu na akatuambia kua kaokota nyumba!! Vijana wa siku akili zao wanazijua wenyewe!!Kalipe vitu vya watu...yaani Dunia hii unaokota simu Tena smart unaanza tu kutumia .... Kudadeki .......kalipe Mzee.