Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ukiokota simu peleka polisi au tangaza gazetini.Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Kwanza hata usitangaze, unaweza kuokota kitu kinachoonekana simu kumbe ni bomu la kujilipua lenyewe kama huko Lebanon.