nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
HAKI ZAKO NA WAJIBU WA ASKARI HUO HAPO . NAKUTAKIA KAZI NJEMA YA UOKOTAJI. KUNA SHERIA ZA TCRA ZINAKATAZA UOKOTAJI. SITOKUTUMIA ILA ZIPO . MITANO KWA MAMA SAMIAMsaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
Loss repot ya nini? We nae usichichanganyeZima usiwe hewañi, alafu nenda kaombe loss report
Isalumimishe police kituo kingine back date tarehe!Cha kuokota si Cha kuiba huna kesi ingawa utasumbuliwa.Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
zima simu itupilie chini ya uvungu ata miaka alaf tupa lineMsaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
Aliokota mazaMdogo mdogo utasema tu ukweli ulikoitoa.......
Na abadili line kabisa ikiwezekana manake lazima tu kesi imdondokee yeyeZima simu potea. Waachane na wewe.
Miaka 5 jela inakusubiri.Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Halafu akatoa line akaweka yake.....Wewe ndio mtu wa kwanza nimesikia ameokota simu.
Washanipata tayari nishachelewazima simu itupilie chini ya uvungu ata miaka alaf tupa line
Huyo mamako alikudanganya. Alienda kudanga akahongwa hiyo simu na mwizi au jambazi, muulize vizuri.Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili. Je machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Au sio....... Halafu akakuletea wewe, mwanae kipenzi. 😹Aliokota maza
Watakuponda ila aulize kweliHuyo mamako alikudanganya. Alienda kudanga akahongwa hiyo simu na mwizi au jambazi, muulize vizuri.
Babako unamjuwa? Mnaishi nae?
Hapana mkuu mimi nimepewa na maza aliokota, Soma uzi vizuriMiaka 5 jela inakusubiri.
Hakuna mwivi anayeiba simu kisha akaidondosha. Umenunua mali ya wizi na sasa kimewaka