Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

unabahati..maana vitu vilivyo orozeshwa hapo kama sh.1,000,000 je ungeambiwa mwenye simu kauawa sijui ingekuwaje. usikubari hata ikitokea mtu anakupa simu bule usikuba kuitumia.
 
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,

Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.

Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Mtu mzima unaokota simu ili iweje? Nenda kanyooshwe na uombe hiyo simu isiwe imepotea kwenye tukio la uhalifu.
 
Unamuhukumu mama wa watu bureee,. Nanukuu Toka kwenye kitabu,. "Jiepusheni sana na dhanambaya, hakika ya dhana mbaya ni dhambi.......Hadi mwisho wa aya
hHakuna dshana hapo, kasema mwenyewe.

Kuna mwehu gani dunia ya leo akaokota smartphone?

Msitetee ujinga.
 
Huyo mamako alikudanganya. Alienda kudanga akahongwa hiyo simu na mwizi au jambazi, muulize vizuri.

Babako unamjuwa? Mnaishi nae?
Unamuhukumu mama wa watu bureee,. Nanukuu Toka kwenye kitabu,. "Jiepusheni sana na dhana mbaya, hakika ya dhana mbaya ni dhambi....... Hadi mwisho wa aya
 
Kitambulisho alichotumia kitamkamatisha tu.
Bora akajisalimishe aombe poo.
Aombe isimkute kesi ya kichwa au wizi kutumia silaha.
zima simu itupilie chini ya uvungu ata miaka alaf tupa line
 
Nili okota Samsung S22 club siku taka kujua ya nani nika uza . ..cha kuokota sio cha kuiba ebu sema ni kituo gani niende na wewe kwa ajiri ya dhamana 😅😅 sema wahuni wana tabia ya kubambikia watu makosa wakiona una sumbua una pewa armed robbery haina dhamana iyo uta sota miaka kadhaa rumande
 
Back
Top Bottom