Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Sio waoga ni wameishiwa Sera hamna lolote wanaweza kuongea mbele ya mtu mwenye timamu atawaelewaHawa jamaa waoga 😄
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio waoga ni wameishiwa Sera hamna lolote wanaweza kuongea mbele ya mtu mwenye timamu atawaelewaHawa jamaa waoga 😄
Ova
Shida yake anahisi kama ni mtanzaniq maalum sana. Kumbe hata desertation ya masters tu pale mzumbe ilimshinda ikabidi akodi watu wamuandikieSiasa za Nape ni za kishamba sana
Mzee wa bao la mkono ameanza figisufigisu.Hii nchi haiishi vituko. Yani Tanzania upate stress kwa kujitakia maana polisi wamejaa futuhi tupu. Eti Stephen Membe (kada wa Chadema) kakamatwa na Polisi na kufunguliwa kesi, "kwa nini unafundisha vijana mazoezi ya kijeshi?".
Hili limetokea Lindi jimbo la Mtama linaloshikiliwa na waziri aliyefurushwa Nape Nnauye. Hivi mazoezi ya kijeshi ni yepi hayo?
Mpumbavu sana yule lakini kiboko yake ni Makonda.Siasa za Nape ni za kishamba sana
Waoga kuzidi nyie Chadema?Hawa jamaa waoga 😄
Ova
4R za delila
Huyu ni mtoto wa Late Membe????Wakuu
Yericko Nyerere ameandika;
Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini.
Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu sana. Ila mtoa taarifa wetu ambaye ni Mtoto wake ametueleza Chadema Kusini kwamba wanamshilia kwa masuala ya kisiasa kutokana na hoja nzito alizotoa kwa wananchi siku ya Mkutano wa Chadema wa uzinduzi wa Kampeni za chaguzi wa serikali za mitaa.
Pia, Soma: Kukamatwa viongozi wa CHADEMA, Polisi wadai "CHADEMA walikaidi amri ya Askari, walirusha mawe na kujeruhi Askari"
Aidha inasemekana ni agizo la Viongozi wa CCM wa Kata na Wilaya kuhakikisha anawekwa ndani ili kufifisha Kampeni za CHADEMA kule Rondo.
Taarifa na Chadema Kanda ya KusiniView attachment 3160195View attachment 3160196
Huyu ni katili kuliko hata Magu mwenyewe