LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hii nchi haiishi vituko. Yani Tanzania upate stress kwa kujitakia maana polisi wamejaa futuhi tupu. Eti Stephen Membe (kada wa Chadema) kakamatwa na Polisi na kufunguliwa kesi, "kwa nini unafundisha vijana mazoezi ya kijeshi?".

Hili limetokea Lindi jimbo la Mtama linaloshikiliwa na waziri aliyefurushwa Nape Nnauye. Hivi mazoezi ya kijeshi ni yepi hayo?
 
Mzee wa bao la mkono ameanza figisufigisu.
 
Huyu ni mtoto wa Late Membe????
 
Huyo situkonaye humu kila siku,hata kukimuuziza Leejay
 
Makamanda wa chadema ni kama hao YERICKO NA YULE FALA MWINGINE SIJUE MDUDE CHADEME,

Tatizo lenu ni nini chadema??mnaanzaje kuchukua watu wanaostahiki kuwa MIREMBE,kisha nyinyi mnawafanya ndiyo Vijana wenu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…