Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

... mgao wa watoto? Mnagawanaje watoto labda? Madeni ni mali tambua hilo. Ila najua umeshaelewa; hizo stori nyingine unajaribu tu kupotezea.
Kama hujui baada ya utengano watoto hugawiwa wewe bado ni kinda
 
Kama kazi yake ni kutibu ndoa za watu wengine, kwa nini asitumie dawa hizo hizo kutibu ndoa yake?
 
Kama hujui baada ya utengano watoto hugawiwa wewe bado ni kinda
... mtoto under 8 haina mjadala; ni lazima aambatane na mzazi wake wa kike. Otherwise, ana haki ya kuchagua mwenyewe mzazi wa kuishi naye. Watu hawakai vikao kugawana watoto.
 
Mwaka naye ni mjinga ,amechuma mali kibao yaani anang'ang'ania nyumba na range tu? Ebu muachie mpe na talaka aende zake,hizo mali ni za watoto wako na si za mke.
Mkuu kwani ni waKristu hao unavyorahisisha namna hiyo?

Maana hata waKristu linapokuja suala la kuachana lazima taratibu za kisheria zifuatwe.

Wenzetu mwanamke kama kachoka, anarudisha mahari aliyotolewa kisha ndiyo anajiengua bila ya chochote.

Je kayafanya hayo?

Kusema: "amwachie" ni kutekeleza matakwa kinyume cha sheria.

Kadhia hii ya Mwaka imefukua mambo mengi sana kuanzia kidini, kisheria za ndoa, majukumu na wajibu wa viongozi wa dini katika masuala ya ndoa nk nk.
 

Mwaka aliachana naye mwaka mzima yupo south mbona alikuwa kimya tu? Baada ya dada kuona hakuna ndoa anadai talaka ndiyo anaanza arudishe nyumba etc ,Queen kashapata mtu mwingine anachukua mzigo ,mwaka kaona bora aanze kumzingua.
 
Hata mm sijaelewa hoja yake
 
Dr Mwaka ni katili sana,nimefuatilia hili suala kwa muda nimegundua huyu jamaa ni katili sana na hana huruma.
Nimemsikiliza huyo mwanamke ana IQ kubwa sana na ana busara sana,Mwaka aache kutumia hela zake kuumiza watu ni kitu kibaya sana.
Mwaka ni nani Mpaka anaiyumbisha BAKWATA kama siyo hela?

Nashauri Serikali ijitokeze kumsaidia huyu mwanamke,kwa jinsi nilivyomuangalia Mwaka na yale meno yake UMAFIA unaweza kutokea na asifanywe lolote.Kwakweli kwa ukatili wake natamani kuanzisha Kampeni ya kuzuia anaowatapeli wasimpe hizo hela.
 
Ampe talaka aendelee na maisha yake mwaka ni jeuri na toxic
Amewahi kukuoa if not umejuaje ni toxic ?

Yaani tunaishi kwenye kizazi cha kipumbavu sana, watu wanadhani taraka zinatolewa hovyo kama karanga.
 
Kuliko kuwaka tamaa vijana "oaneni"

Ndoa ni njema lakini inahitaji nidhamu!
KAMA HUNA NIDHAMU KIJANA USIOE WALA KUOLEWA!

Kama ilivyo mshahara kwa mfanyakazi!
Mshahara wa ndoa ni nidhamu!
Ikikosekana bora uachane na hiyo kazi maana haina mshahara
Kijana wa kiume usipooa utaolewa.
 
Huyo Mwaka kazingua sana..yule mama kwa maelezo ya jana...anahitaji kusepa tu..lkn pia kwa ajili alivyokua anaongea..yuko tayari kutulia kama atabembelezwa...shida huyo Mwaka ni kama hajui anataka nini, anampiga pini kila idara bila direction yoyote
Hujielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…