Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

Kama zipi kwa mfano! Mgao wa Mali unazungumziwa mahakamani baada ya talaka sasa unaposema anataka kuondoka unamaanisha kaondokaje wakati shauri lake linapigwa danadana?


Eti ameghushi nyaraka za umiliki wa mali.

Kwa hiyo Juma anasita maana akishampa talaka tu ikifika mahakamani wakati wa mgao wa mali mke ataonekana nyumba ni yake maana ina jina lake!
 
Kwanini hili limekuwa swala la jamii nzima?

Huyo mwanamke ana umuhimu gani kwenye hili taifa?

Akwende huko!



Sisi wana jamii tunampenda sana na kumjali. Na tunataka aendelee kuwa salama siku zote.

Tusisikie amekutwa na baya!

Muhimu haki itendeke na iwapo Kweli itabainika kufoji documents za umiliki basi awe tayari kukubali kumwachia Juma Nyumba yake iwapo 100% ni hela ya jasho la Juma.
 
Kuna Ng’ombe kweli Tanzania. Yaani polisi waache kazi za maana wakalinde takataka moja kahaba!? Kwa Faida ipi!



Hapana, ukisema hivyo unakosea !

Labda kama hujasoma Somo la uraia tukusaidie ujifunze toka kwetu sisi wajuvi.
 
Kutenda haki ni bora zaidi kuliko kudhulumu
 
Andiko la upande mmoja!
Kama wewe ni wakike ni sawa ila kama ni wakiume jichunguze sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…