Kama amekataa wakati mapolisi wana mamlaka ya kisheria kufanya upelelezi wamshtaki kwa shtaka lingine la ( failure to comply with lawful order) maana katika unaweza kukuta alifanya kosa kwa influence ya kitu fulani na kwa mujibu wa kifungu cha 9 na 10 cha sheria ya ushahidi wanatakiwa kabla hawajampeleka mahakamani wajue ni nini kilimsukuma kufanya kosa hilo. Hivyo wapo sahihi kabisa kumpima mkojo ijapo kuwa ukiangalia kijuu juu kwa jicho la kiswahili utaona kuwa kama ni inconsistent lakini ukiangalia kwa jicho la kisheria utagundua kuwa polisi wapo deep kinoma.