Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Ayabhana tusahaulisheni habari za kukaa meza1 na ACCACIA lakini kimyaaaaa. Mmeamia kwa LISU sembuse wanahabari mmewatisha hakuna hata anaye ulizia mtakaa lini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kuona aibu nikiulizwa wewe ni raia wa wapi. Naona kama najitambulisha kuwa natoka nchi ya mazwazwa
 
Wasiojua uongozi ni nini na utawala ni nini... wataona hii ni sinema....

Ila wazoef wa siasa na wanaojua uongozi ni nin... ma nidhamu ni nini... na nini maana ya raisi... isue kama hii haiwapi taabu... ni calculation ndoogo tu.

Mwissho wa picha woote tutaelewa.... safi waeshmiwa..

Tunaitaji wapinzani na sio wapingaji... tunahitaji mawazo chanya na si upotoshaji.

Kanyee debe tu nakuombea... si unajitangazia we msomi baba... hangaika na kina palamagamba

Sent from "La -Vista"
 
_20170721_210429.JPG


May Allah bless Me and You
 
Aisee! Yaani mashushushu mnaotegemewa na taifa ndio mnakuwa na akili kama za kwako?
Tanzania kwa sasa polisi hawafanyi kazi kwa utaratibu wao wa kawaida bali wanafanya kazi kwa Amri toka juu tu weledi na hekima vimetupwa mbali.
 
Polisi hawazuiwi kisheria kufanya jambo litakalowasaidia katika upelelezi wao
Mbona wamempekua nyumbani kwake na amekubali kupekuliwa?kwani kaiba tv ya watu?
Kubalini tu Tundu nae anatumia kama Mbowe
wameenda kupekua labda ana silaha za mapinduzi,sasa mkojo utawasaidia kuzuia machafuko?!!!!
 
Mwisho wa movie hii ni kutumbukia kwenye majanga kama wenzetu wanavyotuzunguka walivyopita kwenye majanga miaka ya nyuma wakati tulipokuwa tukijinadi kama kisiwa cha amani.
naona unaombea itokee na haitokei
 
CCM wameharibu weledi na taaluma ya jeshi la polisi. hivi sasa polisi hawajui walitendalo ni
Makamu wa rais ajiangalie!
Anaweza kupewa kazi maalumu ya kupima mikojo.
 
Mungu apitishe tu mbali haya mawazo ninayowazia isijekuwa kweli. Yaan ni miongoni mwa walamba ngada!! It is stunning
 
Back
Top Bottom