Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Kujifunza nini!!! Kosa limefanyika wange muelimisha wamuachie. Jeshi lipo na serikalini ndio inajichemsha zaidi na zaidi.

Nyota Nyota anayo Niffer.

Atayavuka haya, pesa si wachukue tu haraka wakazile sio kumsumbua mtoto wa watu.
Huwezi kupewa 'agizo' na mamlaka za kiserikali then ukaja kujibu mitandaoni huku ukijinasibu una jeshi nyuma yako. Pesa, mafanikio & nyota njema bila akili za kawaida (Common sense) ni sifuri. BTW Hatosumbuliwa sana ila ataipata elimu kwa njia ngumu kutokana na kutokuchunga mdomo/mikono yake. Hata huko tunapoiga demokrasia na uhuru wa kutoa maoni unapoombwa/agizwa na mamlaka za kiserikali juu ya jambo fulani huwezi kujibu kuwa una 'jeshi kubwa nyuma yako' na hata serikali inajua. Unaweza ukaitukana Serikali kadiri utakavyo lakini kamwe usijaribu 'kuitishia'.
 
Aliyesababisha maafa yupo huru wao na wa pesa za wananchi walio toa kwa uamuzi wao..

Wajifikirie..
Hivi kweli kulikuwa na haja ya kumsafirisha? Wameshindwa kufanya nae mahojiano akiwa Dodoma, sio matumizi mabaya ya kodi zetu haya? Haya mambo mengine yanashangaza. Sasa nini maana ya kuwa na makao makuu Dodoma? Au ilitakiwa aje aonenane na Waziri mkuu? Sioni logic ya jambo hili, labda kama kuna mtu alie elewa sababu/na umuhimu wa kumsafirisha atuambie.
 
Leo kaenda wasafi tena? Polisi wanadai wanamsafirisha yupo chini Yao, which is which?
 
The less you know the better
 
Huyu Binti anafaa kugombea Urais!
 
Kosa lake ni nini, kwamba alikusanya hela na kuzila, au aliwasaidia/kwa lengo la kuwasaidia majeruhi na wafiwa?
 
Tuna waziri mkuu wa hovyo sana
 
Mal.aya....na watu wenye akili fupi ndivyo wanavyojidanganya. Huwezi kuwa jeshi kubwa kuliko serekali.
 
Chawa za nifa zimekaza mokomwe yao kweli. Hazitaki kuelewa kitu. Safari hii tunawapiga mkomesho muache tabia zenu za kitapeli tapeli. Kuibia watu haijawahi kuwa ubunifu
Washamba kweli.
Kwanini basi asingesajili namba mpya asitumie ya biashara zake.
Aisee imekula kwake wataondoka na hela zake nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…