cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Hakuna kiki hapo
Aliyesababisha maafa yupo huru wao na wa pesa za wananchi walio toa kwa uamuzi wao..
Wajifikirie..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kiki hapo
Unachangisha hela kwenye account yako ya biashara?
Wanaoteka watu wanakamatwa????Pongezi Kwa Rais
Akina na Niffer wanakamatwa
Hakuna ufanganyifu
Huwezi kupewa 'agizo' na mamlaka za kiserikali then ukaja kujibu mitandaoni huku ukijinasibu una jeshi nyuma yako. Pesa, mafanikio & nyota njema bila akili za kawaida (Common sense) ni sifuri. BTW Hatosumbuliwa sana ila ataipata elimu kwa njia ngumu kutokana na kutokuchunga mdomo/mikono yake. Hata huko tunapoiga demokrasia na uhuru wa kutoa maoni unapoombwa/agizwa na mamlaka za kiserikali juu ya jambo fulani huwezi kujibu kuwa una 'jeshi kubwa nyuma yako' na hata serikali inajua. Unaweza ukaitukana Serikali kadiri utakavyo lakini kamwe usijaribu 'kuitishia'.Kujifunza nini!!! Kosa limefanyika wange muelimisha wamuachie. Jeshi lipo na serikalini ndio inajichemsha zaidi na zaidi.
Nyota Nyota anayo Niffer.
Atayavuka haya, pesa si wachukue tu haraka wakazile sio kumsumbua mtoto wa watu.
Haitofika huko lakini atapata mamwili matatu ya kujifunzaMpaka tko liporomoke .....
Hivi kweli kulikuwa na haja ya kumsafirisha? Wameshindwa kufanya nae mahojiano akiwa Dodoma, sio matumizi mabaya ya kodi zetu haya? Haya mambo mengine yanashangaza. Sasa nini maana ya kuwa na makao makuu Dodoma? Au ilitakiwa aje aonenane na Waziri mkuu? Sioni logic ya jambo hili, labda kama kuna mtu alie elewa sababu/na umuhimu wa kumsafirisha atuambie.Aliyesababisha maafa yupo huru wao na wa pesa za wananchi walio toa kwa uamuzi wao..
Wajifikirie..
Leo kaenda wasafi tena? Polisi wanadai wanamsafirisha yupo chini Yao, which is which?Huyu dada inaonekana kama ana maadui wengi sasa sijui ni fitna au wivu tu juu yake au ni nini?
Maana nimesikia leo kioind wasafi radio akina zembwela na kitenge wanamkalia kooni haswa mpaka nikajiuliza ,shida ni hii hii michango au labda kuna mengine?
The less you know the betterHivi kweli kulikuwa na haja ya kumsafirisha? Wameshindwa kufanya nae mahojiano akiwa Dodoma, sio matumizi mabaya ya kodi zetu haya? Haya mambo mengine yanashangaza. Sasa nini maana ya kuwa na makao makuu dodoma? Au ilitakiwa aje aonenane na Waziri mkuu? Sioni logic ya jambo hili, labda kama kuna mtu alie elewa sababu/na umuhimu wa kumsafirisha atuambie.
Huyu Binti anafaa kugombea Urais!Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.
Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la kukusanya fedha za michango kwa ajili ya waathirika walioporomokewa na ghorofa Kariakoo jijini Dar es Salaam bila kibali.
Pia, Soma:
- Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
- Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo
Jengo hilo liliporomoka Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo vya watu 16, majeruhi 86 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha.
Akizungumza leo Jumanne Novemba 19, 2024 jijini Dodoma, Kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Anania Amo amesema Niffer amekamatwa na polisi baada ya kujisalimisha jana.
“Alijisalimisha jana baada ya kumtafuta, tayari tumemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam,”amesema.
Credit: Mwananchi
Kosa lake ni nini, kwamba alikusanya hela na kuzila, au aliwasaidia/kwa lengo la kuwasaidia majeruhi na wafiwa?Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.
Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la kukusanya fedha za michango kwa ajili ya waathirika walioporomokewa na ghorofa Kariakoo jijini Dar es Salaam bila kibali.
Pia, Soma:
- Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
- Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo
Jengo hilo liliporomoka Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo vya watu 16, majeruhi 86 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha.
Akizungumza leo Jumanne Novemba 19, 2024 jijini Dodoma, Kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Anania Amo amesema Niffer amekamatwa na polisi baada ya kujisalimisha jana.
“Alijisalimisha jana baada ya kumtafuta, tayari tumemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam,”amesema.
Credit: Mwananchi
Tuna waziri mkuu wa hovyo sanaJeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.
Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la kukusanya fedha za michango kwa ajili ya waathirika walioporomokewa na ghorofa Kariakoo jijini Dar es Salaam bila kibali.
Pia, Soma:
- Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo
- Niffer atoa majibu baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutaka akamatwe kwa uchangishaji wa fedha kwa ajali ya maafa Kariakoo
Jengo hilo liliporomoka Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo vya watu 16, majeruhi 86 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha.
Akizungumza leo Jumanne Novemba 19, 2024 jijini Dodoma, Kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Anania Amo amesema Niffer amekamatwa na polisi baada ya kujisalimisha jana.
“Alijisalimisha jana baada ya kumtafuta, tayari tumemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam,”amesema.
Credit: Mwananchi
Mal.aya....na watu wenye akili fupi ndivyo wanavyojidanganya. Huwezi kuwa jeshi kubwa kuliko serekali.Huwezi kupewa 'agizo' na mamlaka za kiserikali then ukaja kujibu mitandaoni huku ukijinasibu una jeshi nyuma yako. Pesa, mafanikio & nyota njema bila akili za kawaida (Common sense) ni sifuri. BTW Hatosumbuliwa sana ila ataipata elimu kwa njia ngumu kutokana na kutokuchunga mdomo/mikono yake. Hata huko tunapoiga demokrasia na uhuru wa kutoa maoni unapoombwa/agizwa na mamlaka za kiserikali juu ya jambo fulani huwezi kujibu kuwa una 'jeshi kubwa nyuma yako' na hata serikali inajua. Unaweza ukaitukana Serikali kadiri utakavyo lakini kamwe usijaribu 'kuitishia'.
Washamba kweli.Chawa za nifa zimekaza mokomwe yao kweli. Hazitaki kuelewa kitu. Safari hii tunawapiga mkomesho muache tabia zenu za kitapeli tapeli. Kuibia watu haijawahi kuwa ubunifu