Wivu WATANZANIA tunachuki sana, ata kama kafanya makosa ilitakiwa apewe elimu jinsi na sio kushambuliwa Serikali ilivyoona anachangisha wao wange zilinda pesa kwa kuzizuia zisitoke yani zingekua zinaingia tu.Huyu dada inaonekana kama ana maadui wengi sasa sijui ni fitna au wivu tu juu yake au ni nini?
Maana nimesikia leo kioind wasafi radio akina zembwela na kitenge wanamkalia kooni haswa mpaka nikajiuliza ,shida ni hii hii michango au labda kuna mengine?
Sasa we mtu ana amka tu anaanza kujichangishia pesa ovyo wachukue pesa zote kwenye simu yake na waanze kumchunguza analipaje kodiNi kweli kabisa. Wanatembea na vibali vyao mkononi
Mbaya sana yule photpshoot tu zinawasumbua nyoyo zenuNifa anasura nzito na bass😁
Umbali siyo tatizo mbona wazungu wanachangisha pesa Ulaya na matatizo yapo Kanyenye Tabora uko.Wapi nguvu imetumika?........jiongeze wewe....maafa yapo Dar es salaam yeye yupo Dodoma anachangisha......huo ni utapeli 😀 😀
Mimi hata sijaona ubaya wa kuchangisha pesa mara mia pesa yangu ipitie kwa niffer maana nitakua na uhakika itawafikia wahanga kuliko kwa hao mafisadi wa ccmNilichokiona ni tumeenda haraka sana, nafikiri Mkuu angesema tu wote waliochangisha wawasilishe kwenye kamati ya maafa. Nimeona dada alikuwa wazi sana kusema kiasi alichokipata hadi ule wakati.
Ila na yeye dada alikosea namna ya kuukabili huu upepo, sijui kile kitabu cha 48 Laws alichosema anakisoma kimemsaidia nini kwenye huu upepo. Au yalikuwa maigizo tu.
Wakazile ivoo.Kujifunza nini!!! Kosa limefanyika wange muelimisha wamuachie. Jeshi lipo na serikalini ndio inajichemsha zaidi na zaidi.
Nyota Nyota anayo Niffer.
Atayavuka haya, pesa si wachukue tu haraka wakazile sio kumsumbua mtoto wa watu.
😂😂😂Mbaya sana yule photpshoot tu zinawasumbua nyoyo zenu
Kama amekamatwa kwani asitajwe jina kama hawa waliokuwa na nia nzuri wametajwa majina. Ndio amekosa na hasa kujibu yeye angekaa kimyaa tu.Mwenye jengo kesha kamatwa.......wewe unamtetea mwizi..... 😀
Huenda aliona udhaifu wetu ktk kuokoa upo chini mno hivyo alitaka kununua vifaa bombaMpuuzi kabisa. Huwezi kufanyia insubordination serekali. Kwamba yenyewe haiwezi kuchangia au kujipanga lazima uombe kibali
Bora hata angekua hajatumia angekua na room ya kusema watu walikua bado wanachanga ningeelekeza kamati ya maafawaTz hamjui sheria, na hilo ndio tatizo. Na serikali imezificha kwenye makaratasi badala hata waanzishe kipindi cha mahakama live kama kipindi cha judge Judy channel e, ili watu wa kesi flani ambazo ni za kutoa knowledge kwa wananchi waelewe sheria inasemaje waone live kila kitu, ushahidi, maelezo hadi hukumu.
alichofanya huyo binti amevunja sheria, na sababu alikua hajui sheria hio, ila kutokujua sheria hakukupi kusanehewa kisa hujui sheria. I'm.in law issues, hekima tu is what she need to wish itumike, but ametenda kosa.