Angekuwa ni Bashite ndo kaagiza akamatwe ungelowa hadi xupi!Hii ni Kiki kwa utawala wamechemka sana.. Tabu hawajui wanaharibu sana kwa wananchi.
Na aliyeshupalia anafurahia sana na gesi. Huku yeye wa Maziwa ya mtoto tangu akue.
Upande wa Niffer ni jambo zuri, litapita hili.
Kwaiyo kila mtu ajiamuliee achangishe tu hahaha atari hii niffer awe mpole ni kosa labda suala linalomuhusu yeye au familia yake ndo achangishe mengineyo ya kitaifa lazima muongozoUnachangisha hela kwenye account yako ya biashara?
PinguHicho kidude hapo shingoni ni kitu gani?
Mtoto wa kiume una wivu kwa mtoto wa kike shameChawa za nifa zimekaza mokomwe yao kweli. Hazitaki kuelewa kitu. Safari hii tunawapiga mkomesho muache tabia zenu za kitapeli tapeli. Kuibia watu haijawahi kuwa ubunifu
Inashangaza sana hasa watu wanaodai eti anaonewa wivu. Watu washazoea kufanya mambo kiholela holela. Halafu sasa imagine alivotangza kuwa kakusanya 30m kwa muda mfupi, itakula kwake pakubwa kama alitamka kwa kutafuta sifa. Na toka mwanzo angeomba radhi pengine yasingefikia hapa.Si ndio hapo. Maafa yana utaratibu zake. ,huwezi kuamka huko ukaanza kukusanya hela za maafa bila kuwasiliana na kamati za maafa husika. Mtu unatoa account binafsi kuchangisha hela?
Natumaini atajifunza kwa hili.
Kazi kwelikweli. Angefuata utaratibu wala hakuna mtu angekuwa na shida naye. Maafa si msiba , harusi au ugonjwa mtu yeyote anaweza kukusanya hela.Inashangaza sana hasa watu wanaodai eti anaonewa wivu. Watu washazoea kufanya mambo kiholela holela. Halafu sasa imagine alivotangza kuwa kakusanya 30m kwa muda mfupi, itakula kwake pakubwa kama alitamka kwa kutafuta sifa. Na toka mwanzo angeomba radhi pengine yasingefikia hapa.
PM Majaliwa ni mtu mzima na ana Heshima yake. Kama yumo humu na akaisoma hii 👆 👆 atakereka sana. Komenti nyingine bhana ni za sisi kwa sisi ngurumbili -hao wazee sio. Samahani lakini.Majaliwa be like bartazali guinea pelekea moto huo mu trakooo
Kwani yeye imelala na haisimami.anasimamishaPM Majaliwa ni mtu mzima na ana Heshima yake. Kama yumo humu na akaisoma hii 👆 👆 atakereka sana. Komenti nyingine bhana ni za sisi kwa sisi ngurumbili -hao wazee sio. Samahani lakini.
Yeah. Unyenyekevu (Kujishusha) mbele ya Serikali ingeweza kumpunguzia Makali ya Hoja inayomkabili huyo binti wa watu. Asivutane kamba na Serikali. Hajaonewa hata kidogo ila katenda kosa na Mamlaka imemjulisha kosa lake. Alichopaswa kufanya ni kuomba radhi na kukabidhi kiasi chote alichokusanya kwa wanaohusika bila ya kuhoji kitapelekwa wapi au kitatumikaje alimradi tu yy aondokane na kadhia hiyo.Inashangaza sana hasa watu wanaodai eti anaonewa wivu. Watu washazoea kufanya mambo kiholela holela. Halafu sasa imagine alivotangza kuwa kakusanya 30m kwa muda mfupi, itakula kwake pakubwa kama alitamka kwa kutafuta sifa. Na toka mwanzo angeomba radhi pengine yasingefikia hapa.
Angekuwa ni Bashite ndo kaagiza akamatwe ungelowa hadi xupi!
Yeye in person Yupo "Fit" lakini kwa Heshima yake na kwa Hekima na Busara yake sidhani kama anaweza kudiriki kufanya hilo ulilosema. Ukumbuke na kuzingatia kwamba hapo alikuwa anazungumza na kutenda kama Serikali na sio kama mwanaume aitwaye Majaliwa. Tofautisha kati ya mtu binafsi na mtu anayeiwakilisha Serikali.Kwani yeye imelala na haisimami.anasimamisha
Mimi nina wivu na power kwa sababu ni kiongozi.Mtoto wa kiume una wivu kwa mtoto wa kike shame
Mimi nina wivu na power kwa sababu ni kiongozi.
Majambazi na wevi kama ww lazima tuwafiche
na ukizubaa lazima tukukule ....mtk
sound recorderHicho kidude hapo shingoni ni kitu gani?
kiongozi ama mwenye madaraka?Mimi nina wivu na power kwa sababu ni kiongozi.
Majambazi na wevi kama ww lazima tuwafiche
na ukizubaa lazima tukukule ....mtk
njaa tu inakusumbua katafute helaMpuuzi kabisa. Huwezi kufanyia insubordination serekali. Kwamba yenyewe haiwezi kuchangia au kujipanga lazima uombe kibali
Binafsi huyu dada sikuwa namjua ila ni wazi inaonyesha ana madui sana.Huyu dada inaonekana kama ana maadui wengi sasa sijui ni fitna au wivu tu juu yake au ni nini?
Maana nimesikia leo kioind wasafi radio akina zembwela na kitenge wanamkalia kooni haswa mpaka nikajiuliza ,shida ni hii hii michango au labda kuna mengine?
"TUMA KWENYE NAMBA HII" hadi leo bado wapo na watu wanaibiwa.Chawa za nifa zimekaza mokomwe yao kweli. Hazitaki kuelewa kitu. Safari hii tunawapiga mkomesho muache tabia zenu za kitapeli tapeli. Kuibia watu haijawahi kuwa ubunifu
Serikali ni pamoja na mimi.yule ni waziri mkuu ila hana tofauti na mimi au naye ni janabi.anakula kipande cha embe asubuhi mchana kipande cha epo au peasi jioni kipande cha papai.lahasha majaliwa ni kama mimi msukuma asubuhi chapati tano chai semosi mchana ugali nusu kilo na mlenda na jioni wali nusu kilo na maharage.hivyo hashindwi kumpelekea moto huyo mrembo ila janabi atafia kifuani lwa huyo mrembo sababu ya ulaji mbovu wa chakula na afya hafifu.mama muuza niongezee libeneke la jero tena pima kwenye lile kopo la chooni lisilo na mshikioYeye in person Yupo "Fit" lakini kwa Heshima yake na kwa Hekima na Busara yake sidhani kama anaweza kudiriki kufanya hilo ulilosema. Ukumbuke na kuzingatia kwamba hapo alikuwa anazungumza na kutenda kama Serikali na sio kama mwanaume aitwaye Majaliwa. Tofautisha kati ya mtu binafsi na mtu anayeiwakilisha Serikali.