Bado sijaelewa kwanini wameiweka hiyo video ya mtu akifanya sex? Kuna uhusiano gani kati ya hizo clip mbili?Wengi wanadai boss wa hapo.ungeangalia video ungeona jinsi muhusika anavyotekodi hizo picha mjongeo Kwa simu.inaonyesha ni cctv ya eneo Moja.
Na ukiangalia vema mazingira yanafanana Kwa nje.
Na mi naona ni siku Moja Kwa maana polisi alifika eneo la tukio akaanza
na
matukio ya siku hiyo kurudi nyuma kidogo wakakutana na Hilo upande mwingine.
Mi mwenyewe sijui.ila waliochukua hizo video inadaiwa ni polisi Kwa upelelezi ndo wanapewa Access ya kukagua.Bado sijaelewa kwanini wameiweka hiyo video ya mtu akifanya sex? Kuna uhusiano gani kati ya hizo clip mbili?
Tumerikamata muraa, tutaripiga kipigo cha mbwa koko.
walishindwa kuonyesha hata picha ya gari wakiotumia, alivyotekwa Mo tuliona picha ya gari kama mrejesho tukiambiwa juhudi zimepamba moto. Ila kwa hili hata kusema abiria kadhaa wameojiwa.....wataje km unanawafahamu
Hapa ndio ujue kwamba Ndoa sio ya kila mtuHivi mke unajiskiaje mume wako anagombania demu tena Yuko radhi hata kuua na wewe upo nyumbani
Huyu. Atakuwa dogo COSSSSSSStangu nilipokutana na jamaa alipata zero form 4 ila yuko teeth nikasema kweli tz ni nchi ya kihuni. tena amewekwa Ikulu na mama yake.
Jamaa huwa nawachukia sana hawa. Sijui kwann huwa wanahisi wapo juu ya sheria. Hata katika mazungumzo ya kawaida t wanataka uwatambueNzuri.Haki itendeke.
Yale yale ya makonda naona sa hv jatupwa mji wa wachaga huko anahaha tu kakutana na tycoons wote wanabunduki asijixhanganyeIla hii dunia yani mtu mzima unahangaika na madisco na ulevi hadi asubuhi, ndio shida za hela za bure unakuwa kama mwehu tu
Aliniuliza wewe unasoma jf kwenye bus nikamwambia ndiyo ?Wengi wanaotumwa kuteka na kuua watu na hata kutisha watu humu JF wako hivyo, Ni Wajinga sana!