ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Mar 8, 2026 #1 Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu