YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk
Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!!
Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe
Source: Aljazeera