Kwako wewe uchi ni wapi, wao wanaona mwanamke kuwa kichwa wazi yupo uchi.
Wengine kuanzia magotini ndio anahisi yupo uchi anavvaa gauni refu.
Wengine wanavaa vimini, mapaja nje wakiamini walilokuficha ndio uchi
Wengine wanavaa nguo mabega, maziwa, kwapa yanaonekana wanaamini walikoficha kupo uchi.
Wengine wanapiga kitop, tumbo lote nje wanaona wameshavaa.
Wengine wanavaa vibukta sawa na kichupi kabisa na hapo kimechanwa chanwa, bado wanaona hawapo uchi.
Wengine ni vichupi kabisa na visidiria.
Kwako avaaje ndio asiwe uchi?