Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

itakuwa ni aibu sana.kama.utaamua kuwaua Raia wa Nchi yako Kwa ajili ya Hijabu
 
Bangi mbaya sana
 
ila jamaa unapenda ligi za ubishi
Uchi kwa sisi waswahili ni ipi na kwa mzungu ni ipi!?..maana wazungu baba,mama,watoto wakiwa ufukweni wanakua na vichupi tu,kwetu sisi hapo tupo uchi na haiwezekani,Sasa uchi ni ipi!?
 
Wavaa rozari bhana Kuna baadhi yenu hamna kitu kichwani kabisa ...unapata wapi moral authority ya kukashfu Imani za watu...
Imani za kipuuzi hazina nafasi katika zama hizi.
 
Sawa, vipi mwanaume akiwa kichwa wazi ni uchi au siyo uchi? Kwanini iwe kwa wanawake tu na si wanaume!!!???
 
Hayo yanawezekana kwa ngozi nyeusi tu, unadhani wenzenu wana akili matope kama nyie!? Rejea ya Tunisia, Egypt n.k
 
kwani Wewe unavaa chupi kama anayovaa Dada yako ?

Hii hijab haina maana yoyote sasa mwanamke kufunika kichwa maana yake nini na kwa nini mwanamme naye asifunike kichwa chake.
 
Sawa, vipi mwanaume akiwa kichwa wazi ni uchi au siyo uchi? Kwanini iwe kwa wanawake tu na si wanaume!!!???
Swali zuri sana, jibu lake linapatikana katika swali nililouliza.. Tafsiri ya uchi.

Wao kichwa cha mwanaune sio uchi ila mwanamke ni uchi na kinahitaji kustiriwa.

Nikusaidie jambo chief ni vile imezoeleka saana ila ilipaswa mwanaume ukiona unywele tu wa mwanamke usisimke sasa kwakuwa tushazizoea hakuna msisimko wowote najua utabisha, nakupa mfano kama wewe ni mtizama X zile x ukishazizoea hakuna msisimko tena mpaka uanze kuzisaka zingine konki, wakati mwanzo kitendo cha kuona cover lake tu ushadinda.
Zamani ukiona video vixen wamevaa nguo za ajabu utadinda ama kusisimka siku hizi tushazoea imekuwa sio kesi.
Movie za zamani zilikuwa na kijisehemu wanakulana mate, au wanaigiza kama wanabanduana fasta tu RUNGU KIPEPE hilo linatuna, siku hizi sio kiviile.
Kipindi watu wanaanza kuvaa nguo za ajabu ilikuwa ukiona mali unasisimka siku hizi sio kesi.

Ushawahi kaa sehemu hata miezi 6 bize tu, hakuna muingiliano na KE itoke ukutane na demu hata akikugusa bahati mbaya tu tayariii 😂
 
Hii hijab haina maana yoyote sasa mwanamke kufunika kichwa maana yake nini na kwa nini mwanamme naye asifunike kichwa chake.
Ungeisoma hata hiyo biblia yako ni kwanini mama maryam mama yake yesu naye pia alivaa hijab? ungeenda kuperuzi hilo andiko ukajua chanzo cha hijab na kwanini mama maryam alivaa, na kwanini hasa asili mwanamke kutakiwa kuvaa hijab

Ukija hapa kupinga na kukataa kitu bora uje na hoja sio moyo wako tu unavyokutamanisha kuandika kwasabab umejichimbia mahala na simu yako ya Tecno.
 
Habari bila picha/video clip sawa na takataka tu
 
Hakuna popote ilipoandikwa kwamba ili mwanamke aingie mbinguni moja ya sheria ni yeye kuvaa hijabu na sio lazima kuvaa hijabu kisa Mariam naye alikuwa akiivaa.

Huwezi ukaniambia kwamba lazima nivae kanzu kisa Ibrahim, Musa na Bwana Yesu walikuwa wakivaa kanzu. Kuna mambo mengine yanahitaji akili ndogo tu, tusilishwe tu dogma kama wajinga.
 
Kwahiyo kwa kuwa alivaa hijab ndio imeamriwa wote wavae? Mohammed hakupanda magari wala hakuwa na smartphone kwanini wewe unayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…