Duh,"Neno askari ni General (jumla) kwa kuwa hata mgambo ni askari, hivyo hatuwezi kulifafanua zaidi kwa kuwa haikubainishwa wazi na tunaliacha hivyo" amesema kamanda huyo.
Yah atawachoma Moto siku ya Mwisho huku ameshindwa kuzuia hilo lisitokee...Mungu atawalpa
πππ hapa umemaliza kila kitu, acha nika enjoy sema hujaweka namba za simuBinti anakaa yombo dovya shuleni
π€£...ila kwa Sasa yupo kwa ali mboa
Hii kauli naonaga ni ya kitapeli tapeli sanaHIVI RAISI SAMIA HII TAARIFA HAJAIONA ILI AMTETEE MWANAMKE MWENZAKE?
Tanzania watu wanapenda kulindana hata kama ushenzi umefanyika vpRegardless kama aliyoyaongea yalikuwa ya kweli au uongo ila RPC Mallya hakutakiwa kuongea aliyoyaongea especially this time!
Hawa viongozi sijui kwann huwa wanatanguliza utemi na ubabe badala ya busara
Sasa wewe ndio umeongea.Familia ya hiyo binti wamalizane nao kiutamaduni tu!! kuanzia Afande mpaka waliofanya hiki kitendo maana mpaka hapo kuna watu wanalindwa
Mi mada ka hizi huwa nakaa mbali najua ubongo wangu utashindwa kuelewaππππ
πππMi mada ka hizi huwa nakaa mbali najua ubongo wangu utashindwa kuelewaππππ
Unamjua nikki mbishiπππ
Unjuu.. Namkubali sana Underground mkongwe AKA Nikki kitineUnamjua nikki mbishi
Ni kweli kabisaInaitwa kulindana maana hujui ya kesho.
Sasa akusaidie wewe mwananchi wa kawaida una faida gani kwake?
Ukisoma hapo tuu hata kama ni mtoto wa wa miaka mitano atajua hawa jamaa ni waongo na kuna kitu wamekificha, tangu mwanzoni tuu walionekana kabisa wanatafuta namna ya kuyapaka mavi marashi ili yanukie bora hata wangekua wanatumia akili kwenye kudanganya sio wanaongea utoto ambao hata mwehu hawezi kukubaliKilichobainika vijana hao hawakutumwa na askari, walikuwa kama walevi na wavuta bangi tu, lakini yule dada alikuwa kama anajiuza 'kahabaβ.
Kafanyaje? Nae kaliwa au?Unamjua nikki mbishi
Mmmmh watu hovyo sana mbona mnatabilia wenzenu mambo ya hovyo hivo πππππππKafanyaje? Nae kaliwa au?
Kuna watu ni wataaramu wa kucheza na matukioni km hayo. Wanatulia kwanza wanasikilizia upepo unavyovuma. Ngoja uone picha linakaribia mwishowashatafuta mbinu ya kumnasua mwenzao. Mungu atamlipia dogo