Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Mimi nilisema na ninasema tena leo, ukinipa mamlaka ya urais leo, taasisi ya kwanza kuifumua na kuisuka upya ni Jeshi la polisi. Hii ni zama za jeshi letu kuwa na watu wasomi na wasiotiliwa shaka uadilifu wao.

Huyo Mallya alichosema ni kama anahalalisha yule dada kufanyiwa alichofanyiwa. Aibu!
 
nchi inahusika vip hapo, na wew mwenye ushahidi usio na shaka unatia huruma na kusikitika nyuma ya keyboard tu mrangi?🐒
Nishakuambia,hapo wanalindana tu....ila bint hyo ndy kafanyiwa ukatili mwanangu
Hata ukimsikia huyo DPP sjui RPC
Wanavyosema,ohh wale walikuwa wavuta bangi yule dada kahaba
,wanaona sawa kwa kitendo hicho kufanyika


Ova
 
Back
Top Bottom