Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwahiyo hao hawajavunja sheria yeyote hata kama hawakutumwa?unaelewa kuna mambo yanahitaji ushahidi usio na shaka kwa mtu kupata haki yake, na sio huruma na hisia...
na hakuna haja kusingizia asiehusika kwa kushindwa kwao kuthibitisha unacholalamikia, lawama hazina msingi hazibadili wala kusaidia chochote š