Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwahiyo hao hawajavunja sheria yeyote hata kama hawakutumwa?unaelewa kuna mambo yanahitaji ushahidi usio na shaka kwa mtu kupata haki yake, na sio huruma na hisia...
na hakuna haja kusingizia asiehusika kwa kushindwa kwao kuthibitisha unacholalamikia, lawama hazina msingi hazibadili wala kusaidia chochote 🐒
huna haja kuwaombea uovu huo mabinti wetu hata kidogo..Nishakuambia,hapo wanalindana tu....ila bint hyo kufanyiwa ukatili
Hata ukimsikia huyo DPP sjui RPC
Wanavyosema,ohh wale walikuwa wavuta bangi yule dada kahaba
,wanaona sawa kwa ktendo hicho kufanyika
Ova
hilo ni jipya,Kwahiyo hao hawajavunja sheria yeyote hata kama hawakutumwa?
Bado ujanijibu mkuuhilo ni jipya,
hoja ya msingi ni watu kutumwa, ni kweli si kweli?🐒
kwa wakati muafaka tunaona na hilo ikiwa mahakama itaona vinginevyo 🐒
ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra kusubiri uamuzi wa mahakama kulingana na ushahidi utakawasilishwa 🐒Bado ujanijibu mkuu
Hebu jiongezehilo hakuna anaebisha,
but hao vijana wametumwa hawajatumwa?🐒
Hahahahaha, dah , mzima lkn RafikiFamilia ya hiyo binti wamalizane nao kiutamaduni tu!! kuanzia Afande mpaka waliofanya hiki kitendo maana mpaka hapo kuna watu wanalindwa
tanzania ni li nchi likuuubwa la kipumbavu.
Kuna haja wa kuwaombea uovu mabinti zenu, ikiwezekana wapigwe mtungo na wavutabangi hata 100.huna haja kuwaombea uovu huo mabinti wetu hata kidogo..
muhimu zaidi kwenye hili, jitokezeni kuthibitisha hizo huruma zenu binti apate haki yake na wahalifu wapate hukumu zao stahiki 🐒
laana nzito. nchi alisimika mizizi ya kuiharibu ni kale kababu ka mchonga. kaliendesha nchi kichawichawiKuishi Tanzania ni laana
uko sahihi sana. mimi naona hata kinyaa kuiandika tanzania kwa herufi kubwa.Ili uweze kuishi Tanzania kwa amani na furaha ni lazima uwe mtu mjinga mjinga hivi. Kwasababu hata ukiwa na hela na una akili timamu kuna mambo yatakuharibia furaha yako. Mambo kama haya ya mhanga kuanza kuitwa kahaba na mamlaka zinazopaswa kumsaidia.