Nimekumbuka kurudi kwenye kamusi ya Kiswahili kuangalia maana ya neno Afande. Zipo maana kadhaa ila moja wapo iliyonishtua ni kuwa hilo neno humaanisha mfilaji.

Nimesikia maelezo ya yule RPC kuhusu sakata la yule mwanamke aliyebakwa na kulawitiwa. Ni kama jeshi la polisi limebarik tendo lile na hakuna kitakachofuata. Tumesubiri na kupewa huo uelekeo.
 
inasikitisha sana yote kumbeba mwenzao aise, na serikali ipo tu inalea ujinga kama huu
 


Tayari!
 
Kwa hyo wanataka kusema mvuta bangi yupo kwenye kundi la machizi wasiokuwa na akili?
Hawajui wanachofanya.?
Walikuwa wanaropoka tu.?kwanini wamwambie wamuombe msamaha afande?.
Samia tunataka haki itendeke.hawa polisi wako wanaendeleza mchezo wa kulindana
 
Ni kama wavuta bangi
Ni kama anajiuza
Naona kuna "kama" mbili hapo.

Ni kama hawana uhakika wanavuta bangi au kama anajiuza.

Kunatakiwa kuziondoa hizo "kama"
Mahakamani.
 
Huyu kwanza haheshima sheria. Ameshatoa kauli ya hukumu kwamba muathirika ni kahaba, waliimuathiri ni wavuta bangi sasa uchunguzi mwingine ni wa nini. Swali langu. How did our country come to this point kuwa na jeshi la polisi kama hili? Na wanaliangalia tu. Kuna agenda gani nyuma ya pazia? Aibu!
 
Kwamba mlitegemea mpate majibu mengine zaidi ya haya hapa kutoka kw askari wenue wa TZ?

Tatizo ni nyie wananchi na wala sio Polisi
 
Hapo police wamenywea wenyewe mbele ya Jeshi.

Sadism is inevitable when the situation is alarming.
Umenikumbusha nyakati zile za Luteni Jenerali Mwakibolwa au Ndomba kama sikosei hasa kwenye hiyo kauli ya Sadism is inevitable when the situation is alarming.
 
Wajinga hao, Kwa Mwabukusi hawatoki.


Waziri Gwajima, Uwe ni mwanamke mwenye UTU.

Sawa ni kahaba, kahaba habakwi??. Ile video Si ipo wazi kabisa kua kabakwa na anabakwa na wanaume zaidi ya wanna??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…