imani potofu zinafanya watu kua watumwa isivyostahili 🐒Huyo raia mwema hutaki aendelee kuishi,hili jambo Kwa hapo lilipofikia tafsiri yake ni Kuna mtu au watu wanalindwa na siyo wadogo.
Hawagusiki hata na Sheria
💯💯Familia ya hiyo binti wamalizane nao kiutamaduni tu!! kuanzia Afande mpaka waliofanya hiki kitendo maana mpaka hapo kuna watu wanalindwa
Wewe ni kilaza nambari wani kwa akili zako unaona lile tukio ni la hiari?!!Mie nilisema tangu mwanzo humu jukwaani, hili tukio watu mmelichukulia kihisia tu, ila inawezekana binti na hao jamaa ni wameamua tu kujirekodi lakini hakuna tukio la ubakaji, yawezekana walifanya kwa makubaliano watu mkaja juuu. Haya tazameni sasa
Ndo uwaulize hao ambao vichwa vyao hukatwa wakati wa maamuzi ya kutumia akili!Hivi mtu akiwa anajiuza anatakiwa abakwe na watu 5?
Sasa Rc Wa Simiyu walimwonea sanaTulimsikia mtu mmoja akitoa report ya binti mmoja wa buza aliyelawitiwa na (afandezi): cha kujiuliza ni hivi???
1. Kusambaza taarifa mtandaoni za kubeza utu wa mtu ni kosa au sio kosa?????
2. Kumwingilia mtu kinyume na maumbile ni kosa au sio kosa???
3. Kwahiyo mtu akiwa anajiuza anaruhusiwa kuingiliwa na maafande 5????
Hata kama mnamlinda mhalifu mwenzenu, lakini haya makosa yanawaweka waalifu hatiani!
Ngoja tuone kwa kuwa aliyetendewa ni Mwanamke na Rais ni Mwnamke ngoja tuone.Rpc alipaswa ajiuzulu au Rais amuengue kwenye nafasi yake!!
Kaboronga!
Dr Gwajima kimyaaaNgoja nimwite mwamba, hawezi kukubali GBV Hii
1. Kusambaza picha zenye maudhui yasiyofaa mtandaon pia ni kosa na kifungo ni zaidi ya miaka 5
2. Kutumia madawa ya kulevya ikiwemo cannabis pia ni kosa kisheria fain na kifungo cha miaka isiyopungua 7
3. Kuingilia kinyume na maumbile/kulawiti nako ni kosa kubwa tu
Yan hao wakinusurika sana huko jela ni kama miaka 20 kila mmoja.
Mwamba Dkt. Gwajima D
Ukimya Hadi Sasa ni kufelikwa intelligence na kulindana!Ngoja tuone kwa kuwa aliyetendewa ni Mwanamke na Rais ni Mwnamke ngoja tuone.