Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Huyo raia mwema hutaki aendelee kuishi,hili jambo Kwa hapo lilipofikia tafsiri yake ni Kuna mtu au watu wanalindwa na siyo wadogo.
Hawagusiki hata na Sheria
imani potofu zinafanya watu kua watumwa isivyostahili 🐒
 
Movi lishànza - yaleyale ya Chai na mkate nyumbani kwa M0.
 
ni muhimu kujizuia kumdhalilisha kwa dhihaka zaidi ikiwa hatuwezi kumsaidia kwa fear of unknown 🐒
 
Sawa watanganyika tumeelewa!
 
Attachments

  • IMG-20240819-WA0010.jpg
    IMG-20240819-WA0010.jpg
    89.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240819-WA0008.jpg
    IMG-20240819-WA0008.jpg
    93.8 KB · Views: 2
  • IMG-20240819-WA0007.jpg
    IMG-20240819-WA0007.jpg
    111.4 KB · Views: 2
  • IMG-20240819-WA0005.jpg
    IMG-20240819-WA0005.jpg
    119.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240819-WA0006.jpg
    IMG-20240819-WA0006.jpg
    80 KB · Views: 2
  • IMG-20240819-WA0009.jpg
    IMG-20240819-WA0009.jpg
    98.4 KB · Views: 2
Familia ya hiyo binti wamalizane nao kiutamaduni tu!! kuanzia Afande mpaka waliofanya hiki kitendo maana mpaka hapo kuna watu wanalindwa
💯💯
Na tena ili kuwe na ushahidi kwamba kuna adhabu wahusika wamepewa, wasiwaue, wapewe zigo moja heavy la kufanana.
 
Mie nilisema tangu mwanzo humu jukwaani, hili tukio watu mmelichukulia kihisia tu, ila inawezekana binti na hao jamaa ni wameamua tu kujirekodi lakini hakuna tukio la ubakaji, yawezekana walifanya kwa makubaliano watu mkaja juuu. Haya tazameni sasa
Wewe ni kilaza nambari wani kwa akili zako unaona lile tukio ni la hiari?!!
 
Tulimsikia mtu mmoja akitoa report ya binti mmoja wa buza aliyelawitiwa na (afandezi): cha kujiuliza ni hivi???

1. Kusambaza taarifa mtandaoni za kubeza utu wa mtu ni kosa au sio kosa?????
2. Kumwingilia mtu kinyume na maumbile ni kosa au sio kosa???
3. Kwahiyo mtu akiwa anajiuza anaruhusiwa kuingiliwa na maafande 5????

Hata kama mnamlinda mhalifu mwenzenu, lakini haya makosa yanawaweka waalifu hatiani!
 
Ngoja nimwite mwamba, hawezi kukubali GBV Hii
1. Kusambaza picha zenye maudhui yasiyofaa mtandaon pia ni kosa na kifungo ni zaidi ya miaka 5
2. Kutumia madawa ya kulevya ikiwemo cannabis pia ni kosa kisheria fain na kifungo cha miaka isiyopungua 7
3. Kuingilia kinyume na maumbile/kulawiti nako ni kosa kubwa tu

Yan hao wakinusurika sana huko jela ni kama miaka 20 kila mmoja.

Mwamba Dkt. Gwajima D
 
Sasa Rc Wa Simiyu walimwonea sana
 
Dr Gwajima kimyaaa
 
Back
Top Bottom