wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
IGP please take note!Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000.
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
Wanataka hela tuuWakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000.
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
Kwani huyo polisi alichofanya kinahusu muungano? Wangepandisha huko huko zenjbarYULE POLISI WA ZANZIBAR NDIO KASABABISHA HAYA YOTE
WANAONGEZA PESA ILI KUPATA HELA YA KUTAFUTA VIDEO ZA ASKARI WAO NA KUZIFUTAπ€£π€£π€£Kwani huyo polisi alichofanya kinahusu muungano? Wangepandisha huko huko zenjbar
Mimi nimepigwa mkono nikaambiwa kuna stika hapa tema 15k tukukatie. Nimelialia nikapewa kwa 12k.Hivi huwa tunakipia ile stika au huduma ya gari kukaguliwa? ππππ
Kama una simu namba yake nirushie nilonge naye. Tutaibiwaje kifalafala bwanaIGP please take note!
Tusiendeshe magari!Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000.
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
Bora kungekuwa na huduma isingekuwa kero kulipa hiyo buku 10(7 ya stika na 3 ya anayekupa stika)Hivi huwa tunalipia ile stika au huduma ya gari kukaguliwa? ππππ
wala sinaKama una simu namba yake nirushie nilonge naye. Tutaibiwaje kifalafala bwana
Gari ni nyenzo muhimu kwa maisha ya leo. Haya magari tunangolea mabinti wa ifm na udsm kama tumesimamaTusiendeshe magari!
Tuwalaani polisiGari ni nyenzo muhimu kwa maisha ya leo. Haya magari tunangolea mabinti wa ifm na udsm kama tumesimama
Uko nchi gani? 5k? Labda stika ya baisikeli. Siku nyingineSticker ni 5k, imepanda kutoka 3k
Hivi yupo kweli?IGP please take note!