Ni kama maiti vile, hasemi lolote au hasikiki popoteHivi yupo kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama maiti vile, hasemi lolote au hasikiki popoteHivi yupo kweli?
Tunanunua stikaHivi huwa tunalipia ile stika au huduma ya gari kukaguliwa? 😁😁😁😁
Watu hawajali stika imeexpire wala nini. Wameniambia tunatekeleza kwa vitendo kauli ya mama: kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake mradi asile mpaka kuvimbiwa.Sasa si hazija expire tulizokua nazo, au tununue mpya?
Uko nchi gani? 5k? Labda stika ya baisikeli. Siku nyingine
Kama huna ushahidi usiwe unakomenti.
majukumu yao ni nini kama tena tunawalipa kukagua gari na tayari tunawalipa mishahara kila mwezi kwa kodi zetu???Hivi huwa tunalipia ile stika au huduma ya gari kukaguliwa? 😁😁😁😁
Baadae nitaweka nakala ya hiyo stika ya buku 7 hapa. Kama unayo hiyo ya buku 5 tafadhali tuwekee nakala hapaYuko sawa.. Nko kwenye semina hapa wamesema imepanda from 3k to 5k, tena ukihitaji hapa hapa unapata..
Nyie wa 7k mnapigwa
Hii nchi imejaa wizi kila kona.Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000.
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
Kuna kamati ya usalama barabarani ya kitaifa, mkoa na wilaya. Hawa watu lazima wale, wajenge, wanunue magari na kuchapisha placards kwa hizo stika mnazonunua. Wale matrafiki wanaokagua magari hawafanyi kazi ya kanisa, nao wana commissions zao kwenye hiyo pesa ya stika.majukumu yao ni nini kama tena tunawalipa kukagua gari na tayari tunawalipa mishahara kila mwezi kwa kodi zetu???
Huu ni upuuzi unaowezekana kufanyika kwenye nchi ya wapuuzi tu.Kuna kamati ya usalama barabarani ya kitaifa, mkoa na wilaya. Hawa watu lazima wale, wajenge, wanunue magari na kuchapisha placards kwa hizo stika mnazonunua. Wale matrafiki wanaokagua magari hawafanyi kazi ya kanisa, nao wana commissions zao kwenye hiyo pesa ya stika.
Bei ya mafuta soko la dunia kwa sasa ni $80/barrel down from $160/barrel wakati vita ya urusi/ukraine inaanza. Licha ya bei kwenye soko la dunia kushuka, Sisi bado tunauziwa kwa bei ile ile kana kwamba mafuta bado yanauzwa ,$160/barrelHalafu na bei za mafuta hazikamatiki
Kwanini nao wasiondoe hizo stika maana hazina tijaBei ya mafuta soko la dunia
Kenya wapo Mars??Bei ya mafuta soko la dunia
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.[emoji23]Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000.
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
Baadae nitaweka nakala ya hiyo stika ya buku 7 hapa. Kama unayo hiyo ya buku 5 tafadhali tuwekee nakala hapa
Nini kuwepo, hata jina lake hatulifahamuHivi yupo kweli?
Kupaki gari kwa kuwa bei ya stika imepanda is the least effective method of solving the problem. Mchele umepanda hadi buku nne kwa kilo, lakini watu hatujasusa kula wali au mapilau. Na kwa Tanzania hii ukipaki gari yako, usitegemee sisi wenye ist na rumion zetu tutakuunga mkono.Wanajuwa mtaishia kulalamika tu
Mwisho wa siku mtazikata tu hizo stika
Ushari wangu nyie wenye magari,pakini
Ova