Polisi waruhusu Mikutano ya hadhara.. Je, wamemgeuka Katambi?

COMMON WEALTH ni akina nani kwetu? Tunayo principle moja RESPECT OF SOVEREIGNTY. Hao wanataka tupigane ili wapate njia ya kutugawa na kuanza kuiba mali zetu. Wachache tu wanajua huu mchezo..(NEO-COLONIALISM)
 
Kwa matukio yote yanayoendelea knchini . Utagundua inchi inajiendea bira hata utaratibu.
 
Utaliona wala usiwe na haraka. Kwa sasa niamini mimi
Nakuamini na Nimeliona tangazo lakini bado dukuduku lipo kwamba aliyetoa Tangazo ni mkubwa zaidi ya huyo aliye litengua. Sujui hiyo imekaaje. Jeshini ikitolewa Amri; atakayeweza kuitengua ni yule mwenye cheo cha juu zaidi ya yule aliyetoa amri mwanzoni.
 
Ilitakiwa yeye mwenyewe Katambi amuagize IGP hadharani kuwa sasa mikutano inaruhusiwa kama alivyofanya wakati wa kuifungia halafu akitoka hapo aende akawahutubie wazee wake kule kwao Shinyanga kuwa sasa hali ni shwari .
 
nonsense πŸ’
 
Nchi inaendeshwa kienyeji sana, waziri kasema bungeni tena kwa mbwembwe
 
Nimekumbuka mahojiano ya mstaafu Mahita IGP.
 
Nchi ina VIONGOZI ******* sana!!, katazo lilitolewa na waziri afu ruhusa inatolewa na Polisi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…