Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Ila Polisi
mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.
Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa
Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Ila Polisi
mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
TAARIFA KWA UMMA
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamataKUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA