PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hiyo kila kiongozi wa chama cha siasa akitaka kusafiri anatakiwa atoe polisi taarifa?
Yaani mnatakiwa msisafiri na kurudi nchini kwa siri! Na badala yake siku ukisafiri kwenda nje, na pia siku ta kurudi; hakikisha unaenda uwanja wa ndege na kikundi cha matarumbeta ya kukusindikiza ili kila mtu ajue unasfiri. Na siku ya kurudi unafanya hivyo hivyo.
 
Eti amekua akisafiri kwenda nje ya nchi bila taratibu?

Kwani ule mfumo wa pamoja wa immigration kwenye kila nchi si ungemzuia kitambo kwenye point of entry yoyote.

Halafu tangu lini policcm wakashughulika na wasafiri hasa ambao hawajafuata taratibu ?

Vilaza wa division IV kwenye ubora wao.
IMG-20240814-WA0001.jpg
 
Kwahivyo wameshakuwa UHAMIAJI?
Uhamiaji wakishagundua unavunja sheria ya uhamiaji huwa wanakukabidhi kwa jeshi la polisi ambalo ndilo lenye mamlaka ya kukukamata na hatimaye kukupeleka kwenye mahakamani baada ya kukamilisha kukuchunguza.

Kazi ya maafisa wa uhamiaji siyo ya kukamata, kuchunguza na kukushitaki mahakamani. Polisi wamefanya kazi yao ya kumkamata Golugwa. Na msajili wa vyama vya siasa amebatilisha unaibu katibu mkuu wa Goluga.
 
Uhamiaji wakishagundua unavunja sheria ya uhamiaji huwa wanakukabidhi kwa jeshi la polisi ambalo ndilo lenye mamlaka ya kukukamata na hatimaye kukupeleka kwenye mahakamani baada ya kukamilisha kukuchunguza.
Sio kweli, sema kwasababu wao hawana sehemu ya kuweka mtuhumiwa huwa wanaenda kukuhifadhi mahabusu polisi.
 
Back
Top Bottom