Saa 6:00 usiku, hiyo tayari ishaingia siku nyingine. Ndio maana mwaka mpya unaanza sherekewa saa 6 usikuTarehe 13/05/2025 saa 06:05 usiku?
Me hapo sijaelewa huo muda ukilinganisha na tarehe ya tukio
Bange unayovuta mkuu nadhani sio ya nchi hiiHujui wewe huyo Golugwa aweza kuwa sio raia ana uraia wa nchi mbili na passport za nchi mbili za majina tofauti
Akitoka nchini anasafiri na passport ya nchi nyingine sio ya Tanzania kwa sababu za kigaidi
Kosa kubwa sana hiloWakuu,
Ila Polisi![]()
mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
TAARIFA KWA UMMAJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.
Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa
Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
View attachment 3332607
Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Forged passport asingeweza kusafiri hata siku moja. Mm ni msafiri wa sana wa kwenda nchi za nje najua nn kimetokeaForged passport!
Fezea ndio nini? 😁😁Wakuu,
Ila Polisi![]()
mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
TAARIFA KWA UMMAJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.
Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa
Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
View attachment 3332607
Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
MbatataPolisii ni viaziiiii
We danga kapeleke genye zako huko, we unawapangia jeshi la polisi cha kufanya? Mmebambwa wanaharamu nyie. Mmenunuliwa kuiharibu nchi yetu kamwe hamtaweza.Wakuu,
Ila Polisi![]()
mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
TAARIFA KWA UMMAJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.
Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa
Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
View attachment 3332607
Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
We nyumbu unajua kazi ya Uhamiaji? Fanya mambo yakoKwahivyo wameshakuwa UHAMIAJI?
Kama wewe unajua kwanini usiziweke hapa?We
We nyumbu unajua kazi ya Uhamiaji? Fanya mambo yako
We bwege huna unalojuautaratatibu gani ni mfanyakazi wa serikali?. Hii kweli CCM hakuna akili na idara zenu.
Kuna mda unajiuliza VIZA yangu Passport yangu,Tiketi yangu alafu umri sio wakupangiwa Hivi nyie jeshi mnaongozwa na muriro akili upepo wa kisulisuli hii kauli
Ukimuona sehemu mtoto anafanya mambo yake ya kitoto mfano kuchezea udongo, nk. Nadhani huwezi kushangaa! Ila ukipita sehemu ukamkuta mtu mzima, halafu anafanya mambo ya kitoto! Nadhani utajiuliza maswali mengi yasiyo na majibu.Wakuu,
Ila Polisi![]()
mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?
Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?
Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?
====
TAARIFA KWA UMMAJeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.
Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa
Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
View attachment 3332607
Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Bwega baba yako bora bao angelepelekea faida sabuni za miaka ujana wake zile zilizotamba kipindi cha mkapaWe bwege huna unalojua
Vipi kama amewekwa tu pale kama picha?Huyo mama sikujua km ni mtu mbaya ivi
Hii kazi kama una akili ya kufikiri na pia kuhoji, nadhani huwezi kuifanya.Alikua anapita njia za panya au? 🤣🤣🤣🤣🤣. Kuna kazi ndio maana wanapewa failures aisee.!!!
Yaani "anaondoka na kurudi nchini bila ya kufuata taratibu za kisheria"! Ndiyo taratibu zipi hizo kwa wenzetu mnaosafiri kwenda nje?Wakuu,