PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hujui wewe huyo Golugwa aweza kuwa sio raia ana uraia wa nchi mbili na passport za nchi mbili za majina tofauti

Akitoka nchini anasafiri na passport ya nchi nyingine sio ya Tanzania kwa sababu za kigaidi
Askofu Niwemugizi Shekhe Ponda pia mlisema sio raia yako wapi? Kila mtu anayesema tendeni HAKI mnambambikia kesi.
 
Kwa kauli zao hizi hizi za kujiwasha kisha wakanuka ,hawafai kuludishwa ulaiani ,waunganishwe na mwenzao ,huyu aliezuiliwa kusaifiri si ndio yule alietoa masaa 72 ,

Polisi hakikisheni haondoki mtu. Yaani akuna kusafiri kwa kiongozi yeyote mpa umalizike uchaguzi eei kisije kikawaka wao wapo uko .
Mkikamata unganisheni na Lisu wataenda kuungana na Mbutolwe mwana wa umma.
 
Wakuu,

Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?

Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?

Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?

====

TAARIFA KWA UMMA
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

​
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.

Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.

Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa

Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam

View attachment 3332607

Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Kwa hiyo polisi sasa hivi wanafanya majukumu yote?kazi ya polisi wa uhamiaji ni nini?basi jeshi la uhamiaji lifutwe na majukumu yake yafanywe na polisi wa kawaida.wao walijuaje kama documents zake zina makosa?hii nchi sasa inaenda kubaya kiasi kwamba raia sasa hivi hatuna haki kabisa na nchi yetu.omekuwa ni nchi ya watawala pekee yao.wao ndo wanaamuru kila kitu juu ya maisha yetu.wakitaka kesho uuawe basi unauliwa na hakuna wa kuhoji.hatari sana huko tuendako.
 
Wakuu,

Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?

Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?

Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?

====

TAARIFA KWA UMMA
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

​
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.

Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.

Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa

Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam

View attachment 3332607

Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Kupuuza taarifa za upotoshaji toka kwa wananchi.... 😅
 
Kwa kauli zao hizi hizi za kujiwasha kisha wakanuka ,hawafai kuludishwa ulaiani ,waunganishwe na mwenzao ,huyu aliezuiliwa kusaifiri si ndio yule alietoa masaa 72 ,

Polisi hakikisheni haondoki mtu. Yaani akuna kusafiri kwa kiongozi yeyote mpa umalizike uchaguzi eei kisije kikawaka wao wapo uko .
Mkikamata unganisheni na Lisu wataenda kuungana na Mbutolwe mwana wa umma.
Sawa kwa sababu hii itasaidia kupunguza GHARAMA ZA KULAZA MGONJWA PALE MUHIMBILI
Ni 50000 kwa siku shekhe. Hili linamuhusu hata bibi yako kijijini.
Nina uhakika hana uwezo wa kulipa
 
Airport hakuna uhamiaji? Uhamiaji wakibaini hayo huzuia mtu kupita au hukamata?
Uhamiaji wana sehemu yao na polisi wana sehemu yao. Wajibu wa uhamiaji ni kukagua nyaraka za msafiri, wakigundua zinautata, siyo kazi yao kumkamata. Suala la kumkamata ni wajibu wa jeshi la polisi
 
Wana ukamataji pia pale wanapokuwa na mashaka na msafiri then wana mkabidhi kwa mamlaka husika.
 
Changamoto wananchi wengi hatujui utendaji wa mifumo ya kiulinzi na usalama, binafsi huwa sielewi anapokamatwa muhamiaji haramu kwa kuthibitisha hivyo,, je idara ya uhamiaji inawajibika kwa Nani? Maana Sina hakika kama idara ya uhamiaji wanayo magereza Yao kutunza waarifu kwa muda ambao wanafanya pelelez ili kujilidhisha na taarifa za wahamiaji walioshikiliwa kwa makosa hayo! Ingawa niliwahi shuhudia Kuna raia Fran wakigeni alikamatwa maeneo ya uwanja wa ndege X baada ya uhamiaji kumaliza jukumu Lao kwa huyo raia wakigeni wao idara ya uhamiaji walimkabidhi kwa jeshi la polisi kwaajili ya uchaguzi zaidi! Maoni yangu ni kwamba sipo kufukia matuta lkn Rai yangu tupunguze kutuoa kejeli, matusi na lawama kwa mambo ambayo yanahitaji uelewa wa ndani ya wajibu wa kila idara au taasisi zinawajibikaje linapokuwa linatokea tatizo kama Hilo! Sijapinga Hoja yako tumia uhuru wako kutoa maoni yako, huo ndio uhuru wa vyombo vya Habari.
 
Wakuu,

Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi?

Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake?

Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa wanasiasa, hii ni aibu sana! Tunaelekea wapi?

====

TAARIFA KWA UMMA
KUKAMATWA KWA NAIBU KATIBU MKUU TANZANIA BARA WA
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)

​
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linatoa taarifa kwa Umma kuwa tarehe 13/05/2025 majira ya saa 06:45 usiku katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere lango namba 03 (terminal 03) lilimkamata
Amani Golugwa, Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwa katika maandalizi ya kusafiri kuelekea Brussels Nchini Ubelgiji.

Jeshi la Polisi lilimkamata Naibu Katibu Mkuu huyo kufuatia taarifa za siri kuwa amekuwa na mienendo ya kuondoka na kurudi Nchini bila kufuata
taratibu za kisheria hapa Nchini.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linaendelea na uchunguzi wa kina wa taarifa hizi kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Usalama kuhusu suala hilo.

Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi kuendelea kuwa watulivu wakati uchunguzi ukiendelea na kupuuza taarifa za upotoshaji kuhusu hatua hizi za kisheria zinazomhusu mtajwa

Imetolewa na;
Kaimu Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam

View attachment 3332607

Pia soma Pre GE2025 - News Alert: - CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana
Halipi nauli kila siku anasema yeye staff😆😆😆
 
Back
Top Bottom