Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

Hadi nimecheka,ukawapunguzia bodaboda msala
 
Muziki wa nyuki usikie tu. Kuna mwaka tulienda kuzika pale kino makaburini, ghafla nyuki wakaibuka. Watu wengine wakasema tutulie hawafanyagi kitu, wale nyuki wakatuzunguka kwanza na ni kweli walikuwa hawang'ati ila wanakuzunguka tu.

Ghafla kuna baadhi ya watu wakaanza kung'atwa. Uvumilivu ulitushinda watu tulitoka spidi kali! Watu wakawa wanavuka lami kwa spidi kali bila kuangalia magari ikabidi yenyewe sasa ndio yasimame.
 
alisaula!? 😁
 
Yaweza kuwa kweli.

Uhusiano wa polisi na binadanu ni kama haupo tu yaani siku hizi
Polisi ni vibaka waliorasimishwa. Naongelea kwa matendo yao kwa ujumla wake. Kuingia mahabusu bure kutoka mpaka hela hata kama huna kosa πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…