figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mbona Utawala wa Magufuli haukuwachukulia hatua hao wahusika ?..Naunga mkono hoja kuna watu walitumia ungomvi wa Magufuli na Lissu kufanya ujinga ule kwa Lissu
Mbowe hakuwa na uwezo wa kuwaondoa walinzi kwenye compound.Naunga mkono hoja kuna watu walitumia ungomvi wa Magufuli na Lissu kufanya ujinga ule kwa Lissu
Kuna watu wanafikiria siyo zaidi ya inchi mbili kutoka mahali walipo. Vitu vingine unaweza kuona aibu kama ni wewe umeandika!Mbona Utawala wa Magufuli haukuwachukulia hatua hao wahusika ?..
Huko sahihi,ata lile la mze Ally Kibao nina shaka nalo wahusika waliotoa mchoro mzima wa yule mzee kaondoka saa ngapi na kapnda gari gani alikua nao kwenye kikao hapo hapo ni CHADEMA wenzakePolisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani.
Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa compromised.
Na siku ikifanyika. Watu hamtaamini macho yenu.
Kikulacho ki nguoni mwako.
Ila kulikua na ushirikiano wa serikali ya Magufuli na virusi wengine ndani ya CHADEMA, walitumika/wanatumika kutoa taarifa za wenzao ndio maana hakuna aliyeshughulikia au kukamatwa kwenye huo uharifu ,katika hali ya kawaida wangedakwa wahusika serikali ina mkono mrefu ila kwa kuwa kuna ushirikiano wamefunika kombeNaunga mkono hoja kuna watu walitumia ungomvi wa Magufuli na Lissu kufanya ujinga ule kwa Lissu
Hili swali hawajibu. Ingekuwa hivyo serikali ilipaswa kuchukua hatuaMbona Utawala wa Magufuli haukuwachukulia hatua hao wahusika ?..
huu ni ubongo unafikiria hivi au n mavi yako kichwani??Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani.
Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa compromised.
Na siku ikifanyika. Watu hamtaamini macho yenu.
Kikulacho ki nguoni mwako.
Kwamba kupanda basi au muda wa basi kuondoka ni siri inayohitaji mtu atoe mchoro?Huko sahihi,ata lile la mze Ally Kibao nina shaka nalo wahusika waliotoa mchoro mzima wa yule mzee kaondoka saa ngapi na kapnda gari gani alikua nao kwenye kikao hapo hapo ni CHADEMA wenzake
Ata kushambuliwa kwa Lissu wachora Ramani ni hao hao
Hii ni hatari sana
Walikua na ushirikiano ata sasa wako hivyo,serikali inakuwa na watoa taarifa kwenye vyama,ratiba yako nzima inakuwa known,ndio ni rahisi kuuwawaMbona Utawala wa Magufuli haukuwachukulia hatua hao wahusika ?..
Magufuli alijua adui yake ni Lissu kutokana na wasaidizi waliokuwa wanampa habari potofu. HawakujuaMbona Utawala wa Magufuli haukuwachukulia hatua hao wahusika ?..
Mbona iko known hiyo, anaondoka muda fulani na gari fulani,ndio maana yule mzee aliuwawa kitahisi sana jamaa wakapiga mkono gari direct likasimama akashushwaKwamba kupanda basi au muda wa basi kuondoka ni siri inayohitaji mtu atoe mchoro?
Vyovyote itakavyokua, yeyote aliyehusika aliwezeshwa na kushikwa mkono na dola.Mbona Utawala wa Magufuli haukuwachukulia hatua hao wahusika ?..
Unajua Mafia wewe? Kwa Tanzania mafia hawafiki watano.. Ukimuondoa membe aliyetangulia mbele za haki. Mwingine anaishi msoga mwingine Kilimanjaro mwingine ZanzibarMbowe hakuwa na uwezo wa kuwaondoa walinzi kwenye compound.
Why single out mbowe! Kwanini na hao mafia wengine wasihojiwe na polisi?Unajua Mafia wewe? Kwa Tanzania mafia hawafiki watano.. Ukimuondoa membe aliyetangulia mbele za haki. Mwingine anaishi msoga mwingine Kilimanjaro mwingine Zanzibar
Mbowe angetaka Lissu apoteze uhai, asingehakikisha amesafirishwa hadi Nairobi.Polisi huwa wanaita kila mtu kuchukua maelezo yake kuhusu tuhuma zozote zile kabla ya kufikishwa mahakamani. Tundu lissu kapitia mengi
Kitendo cha Freeman Mbowe kutokuitwa kuhojiwa kwa chochote japo jinsi alivyosafiri na Mgonjwa hadi Nairobi. Ni dalili ya Polisi na vyombo vya Usalama kuwa compromised.
Na siku ikifanyika. Watu hamtaamini macho yenu.
Kikulacho ki nguoni mwako.
Duh! Mbona kama inakujakuja vile.Naunga mkono hoja kuna watu walitumia ungomvi wa Magufuli na Lissu kufanya ujinga ule kwa Lissu
Kwa hiyo serikali ilikuwa na uhusiano na watoa taarifa ndani ya Chadema?..Walikua na ushirikiano ata sasa wako hivyo,serikali inakuwa na watoa taarifa kwenye vyama,ratiba yako nzima inakuwa known,ndio ni rahisi kuuwawa