Hawaishiwi na visingizio..!!
Je Lisu amefika kuripoti swala lake? Yupo tayari kushirikiana na mamlaka?
Watasema dereva hayupo.
Mahusiano gani unazungumzia mkuu Serikali ndio hiyohiyo, hebu fafanua hayo mahusiano.Hapa naona tume huru ya uchunguzi ikiundwa ndio inaweza kutuletea majibu ya uhakika, hasa kama haitaingiliwa na wanasiasa..
Dereva amefichwaJe Lisu amefika kuripoti swala lake? Yupo tayari kushirikiana na mamlaka?
Watasema aliyesema hayo hayupo nchini, yupo ubalozini nchini Zimbabwe.
Siyo kila Jinai itafanyiwa kazi ipasavyo,Jinai zingine zinakufa!!..Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu...