..Polisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu.
..Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi.
..Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi litamhoji na kuwakamata mara moja waliohusika.
..Au wataleta kisingizio kingine?
Kwani DPP yeye anasemaje kwenye hili sakata la Lissu!!?Je Lisu amefika kuripoti swala lake? Yupo tayari kushirikiana na mamlaka?
Polisi ndio walitakiwa kufanya uchunguzi wa lile tukio, lakini wakawa wanaleta ujanja ujanja tu, hawakuwahi kufanya chochote, naamini walifanya vile kwa kufuata maelekezo ya wanasiasa [serikali] waliohusika kupanga ule mpango.Mahusiano gani unazungumzia mkuu Serikali ndio hiyohiyo, hebu fafanua hayo mahusiano.
Akili hizi ni kiwango cha uvccm.Je Lisu amefika kuripoti swala lake? Yupo tayari kushirikiana na mamlaka?
Watamuhoji ila wanaweza wasitoe press release kwamba wamemuhoji. Kumbukq kuwa uongozi wa juu ulishabadilikaPolisi walisema hawawezi kuchunguza kwasababu wameshindwa kumhoji Lissu.
Na kisingizio cha kutokumhoji Lissu ni kwasababu alikuwa nje nchi.
Sasa Lissu amerejea Tanzania. Natarajia jeshi litamhoji na kuwakamata mara moja waliohusika.
Au wataleta kisingizio kingine?