Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Utampost vipi mke kama kiuno?Masanja ushamba ulizidi, watu tuna mademu wakali tumetulia tu, nani anamjua mke wa Mpoki au Jotti, watoto wa mjini marufuku kupost wake zao mitandaoni.
Hiyo statementni Kwa watoto wadogo kama wewe. Muliro akija kutoa taarifa hiyohiyo kwa watu wazima hatasema hivo.Hapana, inamlinda mchungaji na mkewe, maana polisi wanasema mama mchungaji akisindikizwa na mtu mwingine walienda kwa marehemu kumwambia aache kumtumia sms za mapenzi kwa yeye(mama mchungaji) ni mke wa mtu tayari. So inaonekana jamaa ndio kwanza alikuwa anatongoza hajala tunda
Alafu kuna kideo cha mama mchungaji kinazunguka mitandaoni. Huwezi amini noma kweliMTARO WA YULE MWANAMKE HAUKUWA MSAFI
Ndio ukweli wenyewe.Nimechekaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hv umeona kideo chenyewe,!?Ndiyo,hivyo ila na wao miaka nenda rudi wamekuwa wakiwatania na kuwakashif watu kupitia vipindi vyao
So awe mvumilivu tu,kila mtu anajuwa kuchapiwa inauma
Ova
Kweli kabisa. Hata kichaa hawezi elewa hiyo logic. Yani nitongoze mke wa mtu anikatalie niende nikajinyonge!!!?
pumbav.
Na hasa akijua yeye pia kama mwana me anamapungufu yake🤣🤣Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
Uliwahi sikia Mwanaume kajiua kisa katongoza alafu kakataliwaa???? Hata mtoto wa darasa la saba aliebalehee ambae hajitambui mapenzi yanamuendesha hasaa hawezi fanya Huo ungeseeehii ina make sense
Ndo hivyo.Na hasa akijua yeye pia kama mwana me anamapungufu yake🤣🤣
Si rahisi kusamehe mtu uliyekuwa wamwamini afu ameliwa na mtu wa karibu yako...Vyovyote vile na udhaifu wake. Ni vizuri amemsamehe mke wake. Tunaoteseka ni sisi
Watu wanasamehe.Si rahisi kusamehe mtu uliyekuwa wamwamini afu ameliwa na mtu wa karibu yako...
Tena wa kanisa 1
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Alisha onjeshwa bhanaa 😂😂Uliwahi sikia Mwanaume kajiua kisa katongoza alafu kakataliwaa???? Hata mtoto wa darasa la saba aliebalehee ambae hajitambui mapenzi yanamuendesha hasaa hawezi fanya Huo ungeseee
Kwanini asingemuita kwa Wazee wa Kanisa na kumkanya?Halafuu unawezajee kufungaa safari kwa mtu anayekutongozaaa?..Kama ingekuwaa ni hivyooo huko barabarani kungekuwaa hapatoshi kwa safarii za kwendaa kukataaa mitongozooo...Kuna kitu hakipoo sawaaa na why nyumbanii na sio kanisan sehemuu ambayoo wotee wanahudumuu?..mwanamkee mwezetuu amepuyangaaaa[emoji119]
Utata unaanzia hapo Kama polisi wapo serious! Polisi ikamhoji mke, masanja na huyo mwanamke na ikiwapendeza mke wa marehemu ahojiwe pia. Taarifa Yao haijakaa kisayansi! Wakizama deep Kuna watu watapewa murder na dunia itahuzunika!Jamaa kaoa lakini kajiua kwa sababu ya mke wa mtu mhhhh
Si rahisi kusamehe mtu uliyekuwa wamwamini afu ameliwa na mtu wa karibu yako...
Tena wa kanisa 1
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile ap
Exactly🔨Utata unaanzia hapo Kama polisi wapo serious! Polisi ikamhoji mke, masanja na huyo mwanamke na ikiwapendeza mke wa marehemu ahojiwe pia. Taarifa Yao haijakaa kisayansi! Wakizama deep Kuna watu watapewa murder na dunia itahuzunika!
Eeeh hii point
Inafikitusha.. Huenda kweli muuji alijua mahusiano yao, na kutakua kutawanyisha ndoa ya askofu... Ndio maana hata ujumbe wa katibu uliweka wazi kuwa wamekua na mahusiano.. Na sasa maza anakacha.. Inge kuwa askofu anahusika.. Huenda angeedit huu ujumbe ili kulinda ndoa.. But was out of his control... Muuaji alitaka kumharibia kabisaaaUjumbe wa marehemu umesahau kumtaja mke wa marehemu kabisa.
Marehemu alipaswa kuomba msamaha kwa mke wake
Marehemu hakupaswa jiua kisa kaachwa na mchepuko
Marehemu hakupaswa taja upendo wake kwa mchepuko wakati katoka OA hata mwaka haujaisha
Muuaji ni kama alitaka jambo liishie kwenye talaka
Muuaji alikua anajua kuhusu mahusiano ya marehemu na mchepuko
Muuaji hakuwa peke yake
Nimimi 👋Na mwanaume bora ni yupi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa kaoa lakini kajiua kwa sababu ya mke wa mtu mhhhh