Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Hapana, inamlinda mchungaji na mkewe, maana polisi wanasema mama mchungaji akisindikizwa na mtu mwingine walienda kwa marehemu kumwambia aache kumtumia sms za mapenzi kwa yeye(mama mchungaji) ni mke wa mtu tayari. So inaonekana jamaa ndio kwanza alikuwa anatongoza hajala tunda
Hiyo statementni Kwa watoto wadogo kama wewe. Muliro akija kutoa taarifa hiyohiyo kwa watu wazima hatasema hivo.
 
MTARO WA YULE MWANAMKE HAUKUWA MSAFI
 

Attachments

  • IMG_20220523_142258.jpg
    IMG_20220523_142258.jpg
    2.9 MB · Views: 6
Daaa hali inatisha ningekuwa mime muumini wa masanjaa, hivi sasa ningekuwa nimeloana machozi kama mama mchungaji kaliwa sasa wifee s atakuwa kaliwa hadi
 
Kweli kabisa. Hata kichaa hawezi elewa hiyo logic. Yani nitongoze mke wa mtu anikatalie niende nikajinyonge!!!?
pumbav.

Hela Inaweza Kutumika Kuficha Ukweli…
Ila Roho alioiumba MUNGU Kama Binadamu ameiondoa Ipo siku Itamdhuru anaeficha Ukweli Kama Upo kwa sababu Yeyote ile.
 
Halafuu unawezajee kufungaa safari kwa mtu anayekutongozaaa?..Kama ingekuwaa ni hivyooo huko barabarani kungekuwaa hapatoshi kwa safarii za kwendaa kukataaa mitongozooo...Kuna kitu hakipoo sawaaa na why nyumbanii na sio kanisan sehemuu ambayoo wotee wanahudumuu?..mwanamkee mwezetuu amepuyangaaaa[emoji119]
Kwanini asingemuita kwa Wazee wa Kanisa na kumkanya?

Kwanini asingemsema kwa mme wake?

Kwanini asingempuuza tu?


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Si rahisi kusamehe mtu uliyekuwa wamwamini afu ameliwa na mtu wa karibu yako...
Tena wa kanisa 1

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile ap
Utata unaanzia hapo Kama polisi wapo serious! Polisi ikamhoji mke, masanja na huyo mwanamke na ikiwapendeza mke wa marehemu ahojiwe pia. Taarifa Yao haijakaa kisayansi! Wakizama deep Kuna watu watapewa murder na dunia itahuzunika!
Exactly🔨
 
Eeeh hii point

Ujumbe wa marehemu umesahau kumtaja mke wa marehemu kabisa.

Marehemu alipaswa kuomba msamaha kwa mke wake

Marehemu hakupaswa jiua kisa kaachwa na mchepuko

Marehemu hakupaswa taja upendo wake kwa mchepuko wakati katoka OA hata mwaka haujaisha


Muuaji ni kama alitaka jambo liishie kwenye talaka

Muuaji alikua anajua kuhusu mahusiano ya marehemu na mchepuko

Muuaji hakuwa peke yake
Inafikitusha.. Huenda kweli muuji alijua mahusiano yao, na kutakua kutawanyisha ndoa ya askofu... Ndio maana hata ujumbe wa katibu uliweka wazi kuwa wamekua na mahusiano.. Na sasa maza anakacha.. Inge kuwa askofu anahusika.. Huenda angeedit huu ujumbe ili kulinda ndoa.. But was out of his control... Muuaji alitaka kumharibia kabisaaa
 
Back
Top Bottom