Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji77][emoji77][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
Tanzania hakunaga forensic na utaalamu wa haya mambo ya homicide, issue zinapigwagwa kienyeji tu , sasa jiulize mwili ushazikwa mara hii tuGood question mkuu wakikujibu hili Nami nipe taarifa, why mwili uzikwe kwa haraka hivi?,hii ni cold case tayari
Tangia lini 'Ngala Ngala' kama Wewe ukawa Mjanja? Mliokuja Dar es Salaam na Malori ya Mkaa, Mbuzi na Ng'ombe kama Wewe mkishauzoea Mji mnakuwa na Jeuri mno.watakuuwa weww kwanza nakukutombea watakutombea mtu anaegombana kwa ajili kafumania ni mshamba
Senior bachelorTangia lini 'Ngala Ngala' kama Wewe ukawa Mjanja? Mliokuja Dar es Salaam na Malori ya Mkaa, Mbuzi na Ng'ombe kama Wewe mkishauzoea Mji mnakuwa na Jeuri mno.
Hahahhaha. Ebwana eeh. Nyoka hanaaa.... Hahahahha.. hatar sana we mkuumaalimuWathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Sijaona kosa la mke wa masanja .. binafai.. hakuna mwanamke asietongozwa.. sasa mnamlaumu yeye anakosa gan?. Katongozwa kakataa bwege limejiua..Kwa hiyo huyu mke wa masanja ataendelea kuishi na masanja kwa hali hii? Hapa labda masanja ajitoe ufahamu na kuinesha dunia kuwa ana uvumilivu na anasamehe kwa upendo mkubwa.
Kwel kabisa. Haiingii akilin.. yaan kwa akil ya kawaida . Utongoze. Ukataliwe ujiue.. hii inaonekana mwamba alijulikana anakula mzigo.. mkandamizaj akammaliza akachkua simu ya marehem akapost mtandaon.. kwa akil za polis wa kibongo kesi ishaisha hyoInawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako
Kwenye biashara ya madawa ya kulevya (cocaine/ heroine), wakiku suspect tu kuwa unaweza kuwa ponzesha wakakamatwa lazima wakuue.Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi. Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.
========================
Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga.
Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu.
Amesema βMawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.β
Kamanda Muliro ameongeza, βMtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.β
View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
View attachment 2376956
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne
Masanja hatoboi hii kesi watu washaweka pesa za kumframe .. yeye utajir alioupata wa siri ndo huu unamtafuna. Kama alibeba sembe halaf akatokomea nayo akawa bilionea sasa waliolizwa wamekuja kivingne.. au kama watu waliwekeza pesa kwake halaf yeye akadhulum na kuwa tajir na kujificha kwenye kivul cha uchungaj. Sada wamekuja kivingne na watamframe hii kesi hachomok. Nakaaa paleeeNyie si mnasemaga ni sahihi mtu akimfumania mtu na mke wake aadabishwe?
Mbona leo mna mkana mwenzenu masanja? (kama ni kweli anahusika).
Atakua ni kristina shusho tuuHuyo mama mtu mzima ni nani
Ukisema wamemframe nakubali.Masanja hatoboi hii kesi watu washaweka pesa za kumframe .. yeye utajir alioupata wa siri ndo huu unamtafuna. Kama alibeba sembe halaf akatokomea nayo akawa bilionea sasa waliolizwa wamekuja kivingne.. au kama watu waliwekeza pesa kwake halaf yeye akadhulum na kuwa tajir na kujificha kwenye kivul cha uchungaj. Sada wamekuja kivingne na watamframe hii kesi hachomok. Nakaaa paleee
Wazinzi wangapi tunaishi nao na maisha yanasonga? Tuache unafikiHivi unaanzaje kukaa na mtu wa namna hii. Hatari sana.
Kama una 40 plus wewe ni mtu mzima kakaπ ππππ Rose nimesoma naye Sasa uliposema mtu mzima umenitia unyonge ina maana na Mimi ndio nimekuwa mtu mzima πππ anyways nimeshazeeka hata hivyo πππ
Lile kanisa lina wazee kweli? Mchungaji msela, katibu toziKwanini asingemuita kwa Wazee wa Kanisa na kumkanya?
Kwanini asingemsema kwa mme wake?
Kwanini asingempuuza tu?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sijasema yeye ni mkaka.
Hakuwepo nchini hiyo simu aliichukua saa ngapi?Kwel kabisa. Haiingii akilin.. yaan kwa akil ya kawaida . Utongoze. Ukataliwe ujiue.. hii inaonekana mwamba alijulikana anakula mzigo.. mkandamizaj akammaliza akachkua simu ya marehem akapost mtandaon.. kwa akil za polis wa kibongo kesi ishaisha hyo
Uswazi wanaita makange!!! Hahaaa hatari gia namba 4 na 5.Katibu alikuwa anapewa MCHANGANYO MCHANGANYIKO ndio maana akapagawa.
Utaalamu upo na Kuna course kabisa zinafundishwa vyuoni na practicals zinafanyika. Uliza kwanza kabla ya kuhukumu.Tanzania hakunaga forensic na utaalamu wa haya