0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,155
- 11,168
Unaweza ichapa makofi maitiMke wa marehemu sijui yupo kwa Hali Gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ichapa makofi maitiMke wa marehemu sijui yupo kwa Hali Gani
Ulisoma waraka wa katibu?Bado mnabagaza hizi habari?
Kwanini mnavuka kile kipengele kuwa aliomba uhusiano na alikataliwa?View attachment 2376976
Polisi wamerahisisha sana hili zoezi! Unathibitisha vipi hicho kifo, pasipo kumhoji Mama Mchungaji?
kamanda kasema uchunguzi unaendeleaKwa hiyo hapa ndio mwisho wa uchunguzi na jalada limefungwa
Nchi hii Ina mazuzu wengi dada angu, ujaona wanavyomtetea yule padri mbakaji pia?Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935
Mkuu kumbuka "RAFIKI NI ADUI ALIYEKARIBU"Kweli maisha hayana Formula
Kikulacho ki nguoni mwako
Rafiki yako ndie adui yako
Unakula nae unacheka nae kumbe mwenzako anaona gere
Hiyo ndio kimakinde wanasemaga power of loveJamaa kaoa lakini kajiua kwa sababu ya mke wa mtu mhhhh
Hivi unadhani ni kweli amemsamehe?Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
Na huu ndio uhalisia. Pride imemmaliza huyo dogo. Angeamua tu kujiuzulu nafasi ya ukatibu, angeomba radhi mchungaji na kanisa na pengine angeenda kutafuta kanisa lingine alelewe kiroho.'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
Sisemi kwa sauti ila kila mtu ajaribu kufuatilia hili, mademu wa kisukuma wanapenda ngono mfanowe labda mademu wa kipare, mtakuja kuamini.Mwamba alikua anajiona Tanzania nzima yeye ndio kaoa mwanamke bora.
"Msukuma wangu Msukuma wangu"
Unajuaje kama hakumwambia?Kama ni kweli mbona hakuwahi kumwambia Masanja kuwa katibu anamfatilia na kumuonesha SMS
Uuuuuwi hata hajali yupo huko Twitter anaongeza followerz, hivi huwajui wanawake!!!?Mke wa marehemu sijui yupo kwa Hali Gani
Nasikia ni lilian mwashaHuyo mama mtu mzima ni nani
Ropoka tu ndugu, utaua wanaume wangapi kwaajili ya malaya mmoja? Utaishia jela atabakia mtaani anagawa utamu wewe uko jela unapiga nyeto.Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!