Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Tukiacha kuchukulia kawaida hii case,ukiwa kama mpelelezi unaweza amini jamaa kajinyonga?

Mimi kama mpelelezi wa kujitegemea naweza tilia mashaka kuhusu hili

inawezekana :

Marehemu kauliwa na (team masanja) kwasababu masanja alishajua marehemu alikua akimtaka mke wake.

Siamini hata kidogo kwamba masanja hajawahi pewa nyepesi nyepesi kuhusu katibu wake na mke wake (sidhani)

Naamini fika Hili tukio Masanja kama Hajalifanya yeye na kutengeneza mazingira ya marehemu kujinyonga basi (labda kweli marehemu kajinyonga).

Masanja anapost tu kuwa yuko "USA" hii yawezekana anaifanya makusudi ili kuendelea kuficha alichokifanya.

Mauaji si jambo jepesi,kweli wapo watu wanaoweza jinyonga kwa ajili ya mapenzi ila nimeanza tilia mashaka kifo cha huyu katibu "mwenye mke wake" halafu amejiua.

Naomba wote mtambue MASANJA ana pesa na sio PESA za kununua VOCHA ila ana pesa za kuweza fanya lolote akiwa popote,its just a one phone call "watu wanafanya kazi"

Tusi conclude kirahisi rahisi hili,ingekuaga hii nchi unaruhusiwa fanya upelelezi kisha ukikamilika unawapelekea jeshi la polisi,Hii case ina vingi vimejificha.

Marehemu kujinyonga 49%
Marehemu kunyongwa 51%
 
Polisi wamerahisisha sana hili zoezi! Unathibitisha vipi hicho kifo, pasipo kumhoji Mama Mchungaji?

Tanzania hatujafikia iyo lever ndugu yangu hata huko marekani matukio yanatokea sana ni ngumu kupata ushahidi ikiwa kesi ya mwenyewe hana watu wakuweka support ili kuifatilia we mwemyewe unajua taasizi za usalama Tanzania zimekaa ki serikali na kipesa kama haupo kwenye izo angle mbili kushinda kesi ni ngumu. Chamsingi nikuamini amejinyonga amekufa basi kuujua ukweli apo ni ngumu sababu mtu aliyekufa hana dhamani nyuma yake.
 
Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935
Nchi hii Ina mazuzu wengi dada angu, ujaona wanavyomtetea yule padri mbakaji pia?
 
Inavyonekana haya mauaji yalipangwa kimafia kabisa.
Kwanza baada ya Masanja kugundua Katibu anatafuna matunda yake akambananisha Monica. Monica alipokiri wakamtafuta Mmama mmoja waende nae kwa Katibu ili ionekane wamefika kunuonya. Baadae ameenda Masanja na kumnyonga Katibu baada ya kuandika Ujumbe na kuutuma kwenye Mitandao
20221003_072031.jpg
 
Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
Hivi unadhani ni kweli amemsamehe?
Lazma aishi nae atake asitake mana kwanza alikua na tambo za kutosha kuhusu mkewe lakini pili akimuacha atauhakikishia uma kuwa mkewe kachepuka and it will be really bad for him especially yeye anaejulikana kama pastor!
Kitachotokea ndani ya nyumba kati ya hao wawili kuanzia sasa Mungu tu ndio anaejua,ila nijuavyo mimi no man atasamehe akijua mkewe kauza mechi yani hayupo wanawake ndo tuna hiyo mioyo sio hawa wenzetu!
 
'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
Na huu ndio uhalisia. Pride imemmaliza huyo dogo. Angeamua tu kujiuzulu nafasi ya ukatibu, angeomba radhi mchungaji na kanisa na pengine angeenda kutafuta kanisa lingine alelewe kiroho.

Mke wa masanja alitumia hekima sana kwenda na mtu mwingine mwanamke.
 
1. kwamba jamaa alikuwa anatuma meseji ya mapenzi halafu mke wa masanja akaamua kwenda kwake kumwambia asitume meseji ![emoji15][emoji15]

2.Kwamba katibu wa kanisa alikuwa hajui kama yule ni mke wa Pastor Masanja![emoji15]

Anyway mwambie mama apunguze kidogo tozo
 
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Ropoka tu ndugu, utaua wanaume wangapi kwaajili ya malaya mmoja? Utaishia jela atabakia mtaani anagawa utamu wewe uko jela unapiga nyeto.
 
Back
Top Bottom