Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu...
Oya sister hebu tafuta nafasi uelewe kilichosemwa na polisi kabla hujapost mitandaoni.

Katibu alikuwa anamtaka Monica na kutuma meseji za mapenzi. Monica kamchukua mwanamke mwingine wakaenda kumpa onyo.

Katibu kaona hapa mambo yameharibika akajiua. Unless polisi walete taarifa nyingine, nahesabu monica na masanja hawana hatia.
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Dares salaam Jumanne Muliro amethibitisha ni kweli kulikuwa na mawasiliano ya kimapenzi kati ya mke wa Masanja na katibu wa kanisa aliyejinyonga kwa madai ya kukataliwa kimapenzi na mke wa Masanja.

Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Sasa kama mkeo haridhiki na show yako ndio maana anapita pita pembeni huko, utaua wangapi!? Kwa nini usimalizane na huyo mkeo!?
 
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Mbona hata sasa hivi wanakutombea tu
 
mkuu omba mungu tu yasikukute...... hayana ujasiri haya
 
Sawa sawa. Shetani hanaga urafiki lazima uaibike tu.
 
Kwamba jamaa alikuwa anamtongoza TU ..then baada ya kukataliwa ndio kajinyonga sio?!!!

....fear Kato
 
Wanandoa kama mkeo/mmeo hakuridhishi ni vema uongee nae ili muweze kutatua tatizo. Na kama ikishindikana ni vema kuachana kuliko kufanya usherati mwisho wake ni kama haya yaliyotokea.
 
Watanzania tunapenda sana kutoa mjumuisho na hukumu kwa habari ndogo ndogo bila ushahidi wa kutosha.

Taarifa ya polisi inasema kuwa walikuwa na mawasiliano......katika hali ya kawaida lazima wawe na mawasiliano kwa kuwa hao wanafahamiana kimajukumu.

Pia inawezekana pia ikawa kijana aliwaka tamaa akawa anamtongoza mama mchungaji.

Lakini mpaka Sasa sijaona uthibitisho wa kuwa wawili hao walikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Mbona kana kwamba tulikuwa tunatazamia habari kutoka kwenye familia hii muda wowote.
 
Back
Top Bottom