Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Oya sister hebu tafuta nafasi uelewe kilichosemwa na polisi kabla hujapost mitandaoni.Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu...
Katibu alikuwa anamtaka Monica na kutuma meseji za mapenzi. Monica kamchukua mwanamke mwingine wakaenda kumpa onyo.
Katibu kaona hapa mambo yameharibika akajiua. Unless polisi walete taarifa nyingine, nahesabu monica na masanja hawana hatia.