Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Sasa kama imethibitika huyu mama ni mzinzi, anasubiri nini kwa masanja? Arudi kwao akaendelee na uzinzi wake kwa uhuru
Wewe hujaelewa taarifa ya Kamanda. Ni kwamba, Mrs. Masanja hakuwa na uhusiano wa kimapenzi na huyu Katibu wa Kanisa, bali, Katibu alikuwa anamtongoza kumtaka kimapenzi, na, Mrs. Masanja inaonesha alimkataa hadi kufikia hatua ya kwenda kwake Katibu na kijumbe kumkanya aache tabia ya kumtongoza.
Hata hivyo, Jeshi lisiishie hapo kama lilivyosema, bali, liendelee na uchunguzi wa kina kubaini zaidi yaliyofichwa na kufichika ndani ya boksi. Damu ya mtu Mtanzania isichukuliwe kirahisi kihivyo.
 
Naendelea kuwakumbusha wanaume kuwa hakuna mwanamke ambae ni wa peke yako kwa sasa na ukimpata muheshimu sana na pia msitumie pesa nyingi mkidhani kuwa mtawafanya waanawake watulie wala msijali kupitiliza.

wanawake wa sasa ni majanga, hakuna mtu aliyekuwa anajifanya ana mapenzi ya dhati kwa mkewe kama Masanja ila ona alichofanyiwa.
Kweli, Sasa hivi "Kijana tafuta pesa,tumkamie mkeo".
 
Kuna taarifa zinasambaa kwamba Masanja na mkewe watakamatw kwa ajili ya uchunguzi zaidi kuhusiana na kifo cha katibu wake wa kanisa

Inasemakana kwamba katibu uyo a kanisa la masanja wala hakujinyonga bali alinyongwa na kisha kuzusha kwamba amejinyonga

Nb tayari mwili wa Marehemu umeishazikwa, mwili huo umezikwa jana
Hii kitu ilikuwa organized crime. Watu account zimeshaingiziwa hela na mchezo umeisha mapema. Kesi hamna tena hapo.

Mfanya tukio angekuwa kapuku asiye na jina ndio ungeelewa polisi tz ni akina nani.
 
Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935
Muhuni katmba sana, mwenye mali kagundua kashindwa kuhimili kaamua afukuze mke, mke kaomba msamaha na kwenda kujisafisha kwa mgoni akiwa na mshenga wake mama mtu mzima, mwenye mali alifanya planned assasination kama kisasi then boom mambo yanaenda viral, polisi wanapokea ujumbe kwa boss kuwa hilo achaneni nalo. Kesi imeisha.

Nashindwa kuelewa mpaka sasa kwanini familia ya katibu haikupewa airtime waseme mazingira ya kifo yalikuwaje. Kwanini Masanja amechukulia kifo cha katibu wake mtu aliyefanya naye kazi kwa karibu so lightly.
 
Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
He is not a real man but an idiot.
Once a cheater always a cheater!

Mke msaliti hawezi acha sababu kilichomfanya akusaliti still bado kipo, she will eventually cheat again. Hamna mapenzi tena hapo trust me, ni kujilisha upepo nampenda mke wangu ila moyoni tayari upendo ulishaingia doa. Watakuwa wanaishi kama walezi wa watoto tu ila kila mmoja kivyake bila emotional attachment.

Utakuwa bwege sasa kuamini kuwa mwanaume anaweza akasamehe usaliti. On top of that kuna jambo kama limejificha likely assasination. Mke anajua fika kuwa mgoni was murdered in her expense ya kuendelea kuwa mke. Furaha itatoka wapi?
 
Welcome to Organized crime bruh,,,angeuliwa mtoto wa Laswai muuaji angekuwa ndani muda huu!

Ila kwa kuwa mgoni ni nobody basi ametangulizwa kibabe.
Mwili umeshazikwa kisha ndio upelelezi ufanyike?

Au mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu?
 
Tusipende kukaribisha marafiki ndani , Mana wanatamaa sana wawe wa like au kiume , mazoea ni mwiko . Mwanamke mdhaifu na mwanaume anashawishi.
 
Hapana, inamlinda mchungaji na mkewe, maana polisi wanasema mama mchungaji akisindikizwa na mtu mwingine walienda kwa marehemu kumwambia aache kumtumia sms za mapenzi kwa yeye(mama mchungaji) ni mke wa mtu tayari. So inaonekana jamaa ndio kwanza alikuwa anatongoza hajala tunda
Hajala tunda kivipi? 😂😂😂 Unaonekana level yako ya ujasusi ni changa mno.

Nikuulize tu hili swali, ukimfumania mkeo na akakiri taarifa ya kwanza utaipeleka wapi? Je, kama mgoni ni mtu unayemfahamu utakuwa katika hali gani na utachukua maamuzi gani?
 
Subirini sasa, mbona mnatuchanganya, katiibu alikuwa anapewa mzigo au ndio alikuwa anafukuzia akanyimwa!??
Uombe mzigo unyimwe then ujiue😂 ati unaona aibu mwenye mali akijua. Sasa hata akijua na hujamla tatizo liko wapi?
 
Msukuma wangu kumbe alikuwa msukuma wetu halafu wanawake wa kilokole wepesi mno mimi najiliaga tu wanakwaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kujua usaliti hausameheki subiria uone kama kuna Episode za "Msukuma wangu" zitaendelea kutamalaki baada ya hili kupita 😂😂😂
 
kama mwanamke alimkataa k'mapenzi kuna siku hata moja amewahi kumuambia mumewe kua katibu anasumbua toka wanatongozana ???

mwanamke kama hajakuelewa lazima amwambie mumewe ila kama alikaa kimya mpaka kajamaa kakajidedisha maana yake aliliwa.

watalaamu wenzangu mtakua mnanielewa
Ndio ilivyo, mwanamke kama hajamuelewa baharia lazma ataripoti mapema sana kuwa anasumbuliwa 😂 ila akimuelewa muhuni anakipeleka kimya kimya anapigwa para af safi tu.

Ukija kugundua kesi anatupiwa shetani tu sasa utachagua kusuka au kunyoa.
 
P
Ile hadithi ya mkono wa baunsa inajirudia kwa Masanja. Kule tuliambiwa video ni feki, tukapigwa na marufuku ya kuiongelea, huku tunaambiwa jamaa hakula mzigo ila ilikuwa ni hatua za mwanzo za maombi ya mzigo.

Asanteni polisi kwa kupoza mambo, angalau watu watasahau kama lile la mkono wa baunsa.

Maisha na yaendelee, story closed
Polisi tz wanatufanya watoto kwenye kesi za viongozi wa makanisa wenye hela
 
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Watu kama nyie ndiyo mnatombewa kwa kwenda mbele
 
Kujiua sababu ya mapenzi,labda huyo alikuwa last born wa wanawake duniani kwa akili yake
Lkn nyinyi acheni utani kwenye kuumizwa, demu mmoja alikuwa mtamu balaa.....aliniachaga ilinichukua muda mrefu hadi kukaa sawa. Anayejiua mpeni pole tu. Inaitwa kutendwa.

Kama hai
 
Back
Top Bottom